Rais, mchukue Robert Heriel wa JamiiForums awe mwandishi wako wa hotuba 2025

Kwa uzi wako huu, utasababisha huyu mtu uliyemtaja hapa atekwe na kupotezwa, unahatarisha vyeo vya Watu huko ikulu. Unataka Watu wapokonywe tonge la ugali mdomoni??
 
muweke hii ni kwa ajili ya masilai mapana ya taifa na wanajamiii forum wote nawasilisha
Mi nnaona upo sawa kabisa.

Nchi ikifikia muda inaweka watu wenye akili kama viongozi ndio tutatoboa. Watu wenye kufikiri na kutoa maaamuzi

Kimsing huyu Heriel Ningemuweka hata ukatibu kwenye wizara nyeti za nchi hii.

Kitaalamu umefanya kitu kinaitwa Meritocracy..... ... may the best man win and lead
 
Mwanasaikolojia na hotuba za Kisiasa wapi na wapi?
 
kuna mwanadada alikuwa anaitwa Ashadii na mwingine alikuwa anaitwa Lala1 sijui wako wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…