Rais mfute Abubakari Kunenge Ukuu wa Mkoa. Mrudishe Makonda Tafadhali

Rais mfute Abubakari Kunenge Ukuu wa Mkoa. Mrudishe Makonda Tafadhali

Sarcasm at its best [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa wale wasiojua maana ya sarcasm ndio hii. Safi kabisa. Yaani unaongea kitu kana kwamba unamaanisha kumbe humaanishi yaani.....inakujaaaaa, inakataa......au.....inakuja kwa mbaaaaaaaaliiiiiii ( in Bwege z voice)
Uandishi huu alikuwa anaujulia sana Pascal Mayala kabla hajajichetua.
 
It's either sarcasm au hujielewi.
 
kuipima nidhama yake akawe DAS mpanda hukoili kumnoa pia ma-DAS waonekane watu wa maana na wakutisha nasio wala wake zawatu!!
 
Na wewe umesoma kama mlevi anayevizia sufuria la pombe ya jana apate machicha ya kufyonza aende watambia wenzie na leo kanywa tena pombe. 😂😂😂

Huku kwetu malawi kunywa gongo ruhusa na kuvuta bangi si kosa la kufungwa


Sasa sijui huko dar kama hivi vitu vinaruhusiwa


Umeandika kama mlevi anae vizia kuonja pombe ya jana atoe jibu kuwa bado haijaharibika
 
Ubusy ndugu yangu. Nlikuwa nazungukia nchi kadhaa kuangalia athari za Corona.ila naona pia napigwa vita sana na moderator wa JF. Kuna kipindi niliwaza mpaka kuinunua JF.
Sasa hata ukiuziwa hii jamiiforums utaweza kuiendesha? Maana Serikali ikihitaji siri zetu wewe utawapa kuepuka kuhudhuria mahakamani kila wakati
 
Mimi serikali haiwezi nisumbua nina mawakili wa kimataifa zaidi ya 20 hawa wengecheza tu na serikali wa humu ndani Tz wapo 5 nguli. Lakini pia naweza hata nikawa na kosa nikamnunua mtu wa kufungwa kwa niaba yangu. Nina kibali hicho.

Sasa hata ukiuziwa hii jamiiforums utaweza kuiendesha? Maana Serikali ikihitaji siri zetu wewe utawapa kuepuka kuhudhuria mahakamani kila wakati
 
Yaani Le Mutuz ana maisha magumu mjini
Sasa kabuni mradi wa kuandaa shambulio jipya kwa Tundu lisu anakula pesa za mchakato na pia akula pesa za wagombea wa CCM walioshindwa kura za maoni kwa kuwadanganya kuwa atawambia Takukuru wawaandikie report za Rushwa washindi wa kura za maoni ili waliopata zero majina yarudi toka Dodoma kisha kwenye kampeni apige pesa tena za kufanya uchakachuaji kuiba kura mpaka mpata zero awe mbunge , le mutuz hakosi cha kufanya CCM
 
Unahisi kama nchi inaendeshwa kama vikao vyenu vya familia.
 
Umenichekesha sana. Asante kwa kuifanya Jumamosi yangu kuwa ya furaha wakati tukisubiri fainali za FA au siyo!?
 
Hilo swala la mke wake ndio muhimu zaidi inakuaje mkuu wa mkoa hata mke wake hatumjui? Hahahha
 
Back
Top Bottom