Rais mfute Abubakari Kunenge Ukuu wa Mkoa. Mrudishe Makonda Tafadhali

Rais mfute Abubakari Kunenge Ukuu wa Mkoa. Mrudishe Makonda Tafadhali

Aiseee

Binadamu kweli humwezi

Mtu akisema kelelee, asiposema keleee ilimradi tafrani.
 
Mleta mada hujitambui wewe.

Kunenge anafanya kazi kiutu uzima, hakuna drama
Tatizo la kuwapa access ya social media vilaza
Kama unamtaka makonda xiumwambie akaongoze famili ya babako mbon anafaa au mpe dadako ili uwenae karibu
Unahisi kama nchi inaendeahwa kama vikao vyenu vya familia.

Bilalifuuuuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mleta mada katumia tashtiti (satire) [emoji3591][emoji3591][emoji3591]kejeli (sarcasm) na dhihaka (irony)....

Hizi ni mbinu za kuwakilisha ujumbe mzito kwa njia za utani utani tu ambapo mara nyingi ujumbe uliokusudiwa huwa kinyume na kinachosemwa. Matumizi ya mbinu hii ilistawi sana katika jamii zenye mifumo gandamizi ambapo kusema mambo wazi wazi ilikuwa ni hatari kwa uhuru wa mwandishi. Kazi bora ya kitashtiti (satire) inayotambuliwa katika fasihi ya kimataifa ni riwaya ya Shamba la Wanyama (Animal Farm) iliyoandikwa na George Orwell. Katika fasihi ya Kiswahili hadithi fupi za Uwike Usiwike Kutakucha za Gabriel Ruhumbika na hata riwaya ya Pepo ya Mabwege ya Harrison Mwakyembe zinatajwa kuwa ni vielelezo vizuri vya matumizi ya tashtiti ambamo ndanimwe vipengele vya kejeli na dhihaka vimetumiwa vizuri.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_15915555906571764.jpg
 
Tangaza wiki ijayo magari yatatembea yenye numba shufwa ( Even numbers ) tu wiki nzima
 
Sarcasm at its best 😂😂😂😂😂
Kwa wale wasiojua maana ya sarcasm ndio hii. Safi kabisa. Yaani unaongea kitu kana kwamba unamaanisha kumbe humaanishi yaani.....inakujaaaaa, inakataa......au.....inakuja kwa mbaaaaaaaaliiiiiii ( in Bwege z voice)
This JF member is indeed sarcastic, but with a light touch.
 
Magufuli na Mkuu wake wa mkoa hiyo ndio strategy yao ya kampeni...ngoja warudi awamu ya pili atacharuka kama pilipili
 
Utakuta mtoa mada ni mwanaume wa mkoani anafuatilia habari za Daslaam 😂😂😂😂
 
Mambo sasa ndio kabisaa kapatwa na ganzi utadhani nae katumbuliwa
 
Japo Umetuandika na Kutuwasilishia Hoja zako Kinafiki na Kidhihaka zaidi, ila sitoshangaa kuona huu Uzi wako ukakubalika na akarejeshwa tena!!!
 
Mtoa mada naona unamcheka Makonda kimyakimya
 
Back
Top Bottom