Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,655
Hahhaa walevi tumekutana ila mwenzangu umenizidi kidogoNa wewe umesoma kama mlevi anayevizia sufuria la pombe ya jana apate machicha ya kufyonza aende watambia wenzie na leo kanywa tena pombe. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mleta mada hujitambui wewe.
Kunenge anafanya kazi kiutu uzima, hakuna drama
Tatizo la kuwapa access ya social media vilaza
Kama unamtaka makonda xiumwambie akaongoze famili ya babako mbon anafaa au mpe dadako ili uwenae karibu
Mleta mada katumia tashtiti (satire) [emoji3591][emoji3591][emoji3591]kejeli (sarcasm) na dhihaka (irony)....Unahisi kama nchi inaendeahwa kama vikao vyenu vya familia.
Bilalifuuuuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
This JF member is indeed sarcastic, but with a light touch.Sarcasm at its best πππππ
Kwa wale wasiojua maana ya sarcasm ndio hii. Safi kabisa. Yaani unaongea kitu kana kwamba unamaanisha kumbe humaanishi yaani.....inakujaaaaa, inakataa......au.....inakuja kwa mbaaaaaaaaliiiiiii ( in Bwege z voice)
Ulishindwa kuwashawishi wajumbe na hela yote mliyohonga, leo unaanzana na Mheshimiwa, hivi nyie ubongo umeingia maji au damu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaa walevi tumekutana ila mwenzangu umenizidi kidogo