Rais mfute Abubakari Kunenge Ukuu wa Mkoa. Mrudishe Makonda Tafadhali

Umetumwa na Makonda?
Kigamboni tu wajumbe wamefyeka, itakuwa mkoa mzima wa Dar!
 
Tatizo lipo kwenu ambao hamjamwelewa mtoa mada he is true in disguise,anamsema makonda jinsi alivyokuwa akifanya mambo ya hovyo hadi akawafanya wana darisalam wote wadharaulike.
Wapo ambao hawajamuelewa! Povu linawatoka! Bado hawajaijua tu hii style ya P. Mayala!
 
Huyu Kunenge ni Muislam hivyo ni mstaarabu anaongoza kama Allah anavyosema uwe na uadilifu kwa unaowaongoza
 
Siyo chizi maarifa, ni chizi wa jalalani sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…