Zitakuwa ni fake, sio originalWrite your reply...una uhakika gani hizo ni mali zake?
Mkuu weka video kwa faida ya members na familia yangu ili tupate hasira maradufuKwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja.
Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea watanzania kiddie cha matusi cha kati.
Rais Samia hata kama Mombo amekusaidia sana nakushauri tengua uteuzi wake leo. Mombo ni kihatarishi kikubwa cha umoja na usalama wa kitaifa leo. Watu wamechafukwa wanasubiri muda tu it's a time bomb.
Masikini wanakufa kwa kukosa dawa na chakula. Wafanyabiashara wadogo biashara zinakufa kwa kodi. Walimu mishahara midogo. Hospitali zinanuka uchafu. Wanafunzi wanakaa chini. Mombo , Abdul na akina Kiziga wanagawana pesa za watanzania kwa matusi. Hakuna kitu kitawaunganisha watanzania kama haya matusi mnayowafanyia sasa hivi. Sio CCM sio upinzani.
Ukiscroll kushoto utaiona hiyo ya dole la katiAhsante sana
Amfute wakati ndiye mshirika wake mkubwa katika kuibagaza Tanganyika yetu.Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja.
Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea watanzania kiddie cha matusi cha kati.
Rais Samia hata kama Mombo amekusaidia sana nakushauri tengua uteuzi wake leo. Mombo ni kihatarishi kikubwa cha umoja na usalama wa kitaifa leo. Watu wamechafukwa wanasubiri muda tu it's a time bomb.
Masikini wanakufa kwa kukosa dawa na chakula. Wafanyabiashara wadogo biashara zinakufa kwa kodi. Walimu mishahara midogo. Hospitali zinanuka uchafu. Wanafunzi wanakaa chini. Mombo , Abdul na akina Kiziga wanagawana pesa za watanzania kwa matusi. Hakuna kitu kitawaunganisha watanzania kama haya matusi mnayowafanyia sasa hivi. Sio CCM sio upinzani.
View attachment 3470241
Inasikitisha sanaPesa za umma zinatafunwa kama mchwa
Na kama amempa yeye?Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja.
Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea watanzania kiddie cha matusi cha kati.
Rais Samia hata kama Mombo amekusaidia sana nakushauri tengua uteuzi wake leo. Mombo ni kihatarishi kikubwa cha umoja na usalama wa kitaifa leo. Watu wamechafukwa wanasubiri muda tu it's a time bomb.
Masikini wanakufa kwa kukosa dawa na chakula. Wafanyabiashara wadogo biashara zinakufa kwa kodi. Walimu mishahara midogo. Hospitali zinanuka uchafu. Wanafunzi wanakaa chini. Mombo , Abdul na akina Kiziga wanagawana pesa za watanzania kwa matusi. Hakuna kitu kitawaunganisha watanzania kama haya matusi mnayowafanyia sasa hivi. Sio CCM sio upinzani.
View attachment 3470241
Hata kama ni fake. Kwa watoto wenye maadili bado hawawezi kufanya huo ujinga; iwe ni fedha halali au fake.Zitakuwa ni fake, sio original
Kula dagaa lala bwasheeKmmk wallah
Tatizo Pia sisi wabongo kama wangese tuu, hatujui kudai haki zetu zaidi ya kukimbizana na usengerema wa simba na Yanga
Sawa ashtakiwe kuwa na pesa fake ni kuvunja sheria piaZitakuwa ni fake, sio original