Mshauriii Msoga remote hiyooo....Mkunda amelidhalilisha JeshiiHii ni tatizo la bi chaudele
Ndio maana kapewa hiyo nafasi. Wanamtumia watakavyo. Wengine watangulizi wake waliopinga kuyumbishwa na kusimamia maslahi ya Taifa walibadilishwa haraka sana.Watoto wawili wamemshinda, kuongoza idara nzima ndio ataweza!?