The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Shida ni Samia siyo MomboKwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja.
Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea watanzania kiddie cha matusi cha kati.
Rais Samia hata kama Mombo amekusaidia sana nakushauri tengua uteuzi wake leo. Mombo ni kihatarishi kikubwa cha umoja na usalama wa kitaifa leo. Watu wamechafukwa wanasubiri muda tu it's a time bomb.
Masikini wanakufa kwa kukosa dawa na chakula. Wafanyabiashara wadogo biashara zinakufa kwa kodi. Walimu mishahara midogo. Hospitali zinanuka uchafu. Wanafunzi wanakaa chini. Mombo , Abdul na akina Kiziga wanagawana pesa za watanzania kwa matusi. Hakuna kitu kitawaunganisha watanzania kama haya matusi mnayowafanyia sasa hivi. Sio CCM sio upinzani.
View attachment 3470241
Bila kutumia akili za Mange, wewe binafsi una uhakika huyo ni mtoto wa DIrector?Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja.
Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea watanzania kiddie cha matusi cha kati.
Rais Samia hata kama Mombo amekusaidia sana nakushauri tengua uteuzi wake leo. Mombo ni kihatarishi kikubwa cha umoja na usalama wa kitaifa leo. Watu wamechafukwa wanasubiri muda tu it's a time bomb.
Masikini wanakufa kwa kukosa dawa na chakula. Wafanyabiashara wadogo biashara zinakufa kwa kodi. Walimu mishahara midogo. Hospitali zinanuka uchafu. Wanafunzi wanakaa chini. Mombo , Abdul na akina Kiziga wanagawana pesa za watanzania kwa matusi. Hakuna kitu kitawaunganisha watanzania kama haya matusi mnayowafanyia sasa hivi. Sio CCM sio upinzani.
View attachment 3470241
Da mange amesemaWrite your reply...una uhakika gani hizo ni mali zake?
There is always end of the roadWenyewe wanasema hayo wamefanya waNepal tu lkn watanzania hawayawezi. Ndiyo kwanza wanaomba mitano tena kwa mama.
Dah.. nguvu za kutafuta zimeniisha ghafla yaani kwa jinsi vijana tunovyo hustle huku mitaani hela ngumu isee.. ila ipo siku ipo siku!Kwa video zinazoendelea kuwekwa na Dada Mange zikionesha utajiri usiendana na Kipato cha Dgis Mombo na Familia yake. Nashauri Rais Samia Tengua uteuzi wa Mombo mara moja.
Leo kuna video ya Hidaya Binti wa Mombo akichezea Dola laki 3 takribani milioni 800 za Tanzania taslim na akiwanyooshea watanzania kiddie cha matusi cha kati.
Rais Samia hata kama Mombo amekusaidia sana nakushauri tengua uteuzi wake leo. Mombo ni kihatarishi kikubwa cha umoja na usalama wa kitaifa leo. Watu wamechafukwa wanasubiri muda tu it's a time bomb.
Masikini wanakufa kwa kukosa dawa na chakula. Wafanyabiashara wadogo biashara zinakufa kwa kodi. Walimu mishahara midogo. Hospitali zinanuka uchafu. Wanafunzi wanakaa chini. Mombo , Abdul na akina Kiziga wanagawana pesa za watanzania kwa matusi. Hakuna kitu kitawaunganisha watanzania kama haya matusi mnayowafanyia sasa hivi. Sio CCM sio upinzani.
View attachment 3470241
Hatari sana hapa nimeamini hakuna kiongozi nilikuwa mzito sana kumkubali polepole isee ila sasa nimejionea kwa macho isee..Eti familia ya mkurugenzi wa usalama wa taifa,
Tukiwaambia watu serikali ya samia imejaza vilaza tu kama yeye tena kwenye nafasi muhimu ambao hawana waledi wowote, wanakuja machawa na kutwambia eti tunaona wivu.
Yaan mkurugenzi wa taasisi muhimu halafu familia yako inakuwa exposed namna hii?
Hayo matoto yake hayana proper home trainings?
Hizo hela zake anazotuibia anaziweka kiholela holela tu humo ndani kiasi kwamba mtu yeyote ana access nazo?
Na kwanza kwa mshaara upi anaolipwa mpaka anakuwa pesa nyingi hivyo za kuchezea watoto wake?
Sidhani kama tumewahi kuwa na DG wa TISS kilaza kama huyu Mombo.
NB: nawaombeni jamii forum msifute huu uzi licha ya changamoto mnazopitia.
Na baadaye Msigwa atalazimisha kuja mbele kwenye utambulisho wa viongozi, halafu atataka huyo Bosi wake asikilizwe live as kama ana u special wowote ule! Kumbe ni bure kabisa.Bahati mbaya Leo ni wiki ya mwananchi, watanzania kama kawaida yao akili, mwili na roho vimehamia huko.
Juzi ilikuwa simba day, so almost wiki nzima hii watanzania kwa umoja wao wamesahau mambo mengine wapo na siasa za simba na yanga
Wametusaliti na wameisaliti katiba yetu isee.Hakika kiongozi. Unapoanza kuona viongozi wa vyombo vya Dola wanakuwa na ukwasi kama ilivyo kwa IGP kuwa na zaidi ya Bilioni Benki. Familia ya Mombo kuwa na pesa za kuchezea hivi , watu hawa hawaishi viapo vyao. Nchi ipo rehani. Liwalo na liwe.
Amekuwa limbukeni kabisaEti familia ya mkurugenzi wa usalama wa taifa,
Tukiwaambia watu serikali ya samia imejaza vilaza tu kama yeye tena kwenye nafasi muhimu ambao hawana waledi wowote, wanakuja machawa na kutwambia eti tunaona wivu.
Yaan mkurugenzi wa taasisi muhimu halafu familia yako inakuwa exposed namna hii?
Hayo matoto yake hayana proper home trainings?
Hizo hela zake anazotuibia anaziweka kiholela holela tu humo ndani kiasi kwamba mtu yeyote ana access nazo?
Na kwanza kwa mshaara upi anaolipwa mpaka anakuwa pesa nyingi hivyo za kuchezea watoto wake?
Sidhani kama tumewahi kuwa na DG wa TISS kilaza kama huyu Mombo.
NB: nawaombeni jamii forum msifute huu uzi licha ya changamoto mnazopitia.
Huyu nae kaingia humu na VPN, hana tofauti na sisi ila anatetea ujinga, je hujui kama jf imepigwa ban ya siku 90 kisa awataki mambo yao haya kuwa exposed? Wanataka waibe huku wakituziba mdomo.Yaan RAIS ATENGUE DG Kisa video ya kubumba ya kimambi?
jamani taasisi ya urais siyo kamati kuu ya chadomo..