Tetesi: Rais Mfute Kazi Suleiman Abubakr Mombo Mara Moja

Status
Not open for further replies.
Kafirane na Mamako huko usitake kuleta ushubwada hapa !
Kwa hyo, huyo ni mtoto wa mombo ee?
Calm down kijana, wala usiutambulishe ushoga wenu wa kamati kuu kwangu..
Kweli mazuzu ni mengi hapa tanzania,
Hv mnadhani urais ni taasis anayoingoza maudenda?
Calm down kijana, ulipaswa upate muda wa kutafakari kama kweli hyo video ni kweli au AI, lakn kwa sababu we ni zwazwa wa mikocheni huwezi jua..badala yake unajitambulisha kazi unayoifanya!
 
Tukodishe #nepokids watuokoe

Sisi tumeshashindwa
 
Huyu nae kaingia humu na VPN, hana tofauti na sisi ila anatetea ujinga, je hujui kama jf imepigwa ban ya siku 90 kisa awataki mambo yao haya kuwa exposed? Wanataka waibe huku wakituziba mdomo.
Mm situmii VPN,
Sema huwa sitaki maneno ya kubumba bumba, ukiumbuliwa mwishowe au ukipuuzwa unaonekana zwazwa.
 

Kesi ya ngedere hiyo .... !



Ngoja waje.
 
Kufatilia sisa ndg zangu kunaumiza sana kama umeiona clip ya watoto wa mkuu wa usalama wa tsifa bwana mombo utasikitika sana.
Watoto wanachezea dola ivi kaka mtu alisikika akusema eti nimekuachia hizo naenda kuchukua zingine yaani kampa million 800 .
Ielewa anaenda kuchukua sio kutafuta watoto wa mama kutwa jua linawachoma kutafuta wao ni kuchukua tu.
Dollar laki tatu unazitoa wapi mnuka jasho ???
 
Kama ni kweli hii video INAYOONYESHA mtoto bintI ameshika burungutu la Hela uku akimnyooshea mtoto wa kiume kidore Cha kati tuna kusiii mkuu wa IDARA yetu pendwa Mkanye Mwanao

Hii ni tabia mbaya hata kama ameisha ANZA chomekwq vidore hivyo kwenye Tundu lake hasituoneshe watanzania
 
Matokeo ya kufeli kwa wazazi kulea watoto wao.
 
Kumuomba amkanye nikumpa heshima iliyomshinda kuiwajibisha kwenye family yake , minaonba niijue location tu .

Huyo anatakiwa apigwe mzigo kiuharibifu.

Watanzania tumezidi ufala aisee .
 
Kwa kweli wa TANGANYIKA walipofikia sio kuonyeshawa dole la kati bali wanahitaji kudidimizwa hilo dole la kati pengine watakurupuka na kuamka usingizini......
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…