Jackson996
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 773
- 1,355
UNASHANGAA NINIYaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye Rais anafariki dunia, bado makamu wake hajui chochote, watu wengine wanakaa chini kujadili namna ya kuendesha mambo ya msiba bila makamu wa rais kujua chochote.
Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.
Msiogope Exodus 14:14Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.[emoji2827]
We kilaza sana hivi unajua madhara ya kuutangazia uma kuwa Raisi yupo mahututi hajitambui?Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye Rais anafariki dunia, bado makamu wake hajui chochote, watu wengine wanakaa chini kujadili namna ya kuendesha mambo ya msiba bila makamu wa rais kujua chochote.
Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.
Kila Nchi duniani ina Mr Black
Na kaburi la Unknown Warrior
😂😂😂
Lakini Samia anawajua maana walitaka kumfanyia umafia anawajua.....Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye Rais anafariki dunia, bado makamu wake hajui chochote, watu wengine wanakaa chini kujadili namna ya kuendesha mambo ya msiba bila makamu wa rais kujua chochote.
Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.
Lakini taarifa za kifo cha Mwendazake mbona zilikuwepo na zilizagaa sana....Ile siku mama anatangaza kifo ilikuwa ni kutimiza matakwa ya Kikatiba tu...tulianza kusoma tetesi za Ugonjwa kwenye page ya Lissu Twita, then media za Kenya [emoji1139] zikaripoti hii agenda almost 5 days....Mwanamke hana kifua angeanza kutoa taarifa kwa jamaa zake
Zenji kunani? Huu ni utabiri au Historia?
Dingi alivuta 9 days kabla ya tangazo walikuwa wanapima upepo kwanzaLakini taarifa za kifo cha Mwendazake mbona zilikuwepo na zilizagaa sana....Ile siku mama anatangaza kifo ilikuwa ni kutimiza matakwa ya Kikatiba tu...tulianza kusoma tetesi za Ugonjwa kwenye page ya Lissu Twita, then media za Kenya [emoji1139] zikaripoti hii agenda almost 5 days....
Ndio mnajua leoKila Nchi duniani ina Mr Black
Na kaburi la Unknown Warrior
😂😂😂
Unauliza au unaeleza? 🐼Ndio mnajua leo
Hata mimi nasita kabisa kuamini kuwa Samia alikuwa hajui kuwa Magufuli ana hali mbaya.Watanzania wapumbavu sana.
Mabeyo kaongea nukta tu kati ya mengi aliyokuwa yakijili.
Kwa akili yako kweli unafikiri Samia alikuwa hajui?
NB. Namlaumu sana Mabeyo kwanini wakuwakuchukua nchi ile siku pengine hawa mchwa wanaokula nchi saa hii wasingekuwepo.
Sanaa, mwenyewe aijamwelewa mwandisha.Unaleta taharuki mkuu.
I think they discovered she was snitch!Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye Rais anafariki dunia, bado makamu wake hajui chochote, watu wengine wanakaa chini kujadili namna ya kuendesha mambo ya msiba bila makamu wa rais kujua chochote.
Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.
Ebana. Kumbe had Jf hakuna uhuru wakujieleza.... Mmmh!Mimi niliandika uzi humu kwamba kupitia Afande Mabeyo tumejua mke wa Rais wala watoto hawakujulishwa mzee mgonjwa mahututi na hakuletwa hospitali. Uzi ukafutwa. Sasa ngoja nione huu wa Zanzibar-ASP kama utaachwa, manake Wazenji wana special dispensation nchi hii, wanaogopwa kama miungu-watu
Cha ajabu eti makamu wa rais haambiwi, lakini mitandaoni kulikuwa kumejaa taarifa za huyo mgonjwa na ana hali gani. Hadi huku mitandaoni ikatolewa taarifa kuwa kafariki, na inasubiriwa tu siku ya kutangazwa. Na kweli kile kilichosemwa mitandaoni siku kadhaa nyuma Kabla ya kutangazwa rasmi na serekali, kikatimia! Sasa huyo makamu wa rais alikuwa haingii mitandaoni na kuweza kuhoji uvumi ulioko mitandaoni?Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye Rais anafariki dunia, bado makamu wake hajui chochote, watu wengine wanakaa chini kujadili namna ya kuendesha mambo ya msiba bila makamu wa rais kujua chochote.
Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.
Huenda utakuja kujua baadae PENGINE VP alipelekwa Tanga kufichwa siku kadhaa kabla dhidi ya hila mbaya za kusema nae alipata mstuko baada ya Taarifa mbayaMpumbavu at its best!!President wa nchi yupo ICU fighting for his life,PM analitamkia taifa kuwa yupo na siha Tele,VP eti ana ziara Tanga for 5 days,moja ya mikoa midogo sana nchini,kumweka VP for 5 days pale ile tiss yenye heshima isingeruhusu hili kufanyika,vidudu mtu vilitawala nchi kwa wakati ule,Tiss na PPU ya President Nyerere ilikua super,respected na yes iliogopwa na kila mtanzania,salute kwao hasa mlipofanikiwa kumpeleka President Nyerere pale GABBS kwenye mdomo wa kaburu na kumrudisha nyumbani safely,President Nyerere alisimama pekee juu kabisa na very exposed alipokua akiweka shada la maua kwenye mazishi ya President Khama