Rais mgonjwa mahututi mpaka mauti, lakini makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa!

Mkuu unazani mwendazake angetaka kutoa neno kwa familia yake ingeshindikana ? Mbona alimuitaji paroko wake na penguin wakaletwa kumonana nae

Sizani kama kila kitu kinaweza kuelezwa kwenye mahojiano ya dakika 20
 
Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye Rais anafariki dunia, bado makamu wake hajui chochote, watu wengine wanakaa chini kujadili namna ya kuendesha mambo ya msiba bila makamu wa rais kujua chochote.

Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.
UNASHANGAA NINI
 
We kilaza sana hivi unajua madhara ya kuutangazia uma kuwa Raisi yupo mahututi hajitambui?
 
Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye Rais anafariki dunia, bado makamu wake hajui chochote, watu wengine wanakaa chini kujadili namna ya kuendesha mambo ya msiba bila makamu wa rais kujua chochote.

Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.
Lakini Samia anawajua maana walitaka kumfanyia umafia anawajua.....
Mabeyo ni mwongo...haiwezekani watu wote walio karibu na magufuli in all every second of walks of his life as a president wasiwepo Dar wakati yuko mahututi. Hata mkewe hakumtaja...means hakuwepo wakati anakata roho....Mabeyo Mwongo! ni fabricated stories kama alivyosuggest Ngurumo

View: https://youtu.be/I-urvkCKP6M
 
Mwanamke hana kifua angeanza kutoa taarifa kwa jamaa zake
Lakini taarifa za kifo cha Mwendazake mbona zilikuwepo na zilizagaa sana....Ile siku mama anatangaza kifo ilikuwa ni kutimiza matakwa ya Kikatiba tu...tulianza kusoma tetesi za Ugonjwa kwenye page ya Lissu Twita, then media za Kenya [emoji1139] zikaripoti hii agenda almost 5 days....
 
Dingi alivuta 9 days kabla ya tangazo walikuwa wanapima upepo kwanza
 
Watanzania wapumbavu sana.

Mabeyo kaongea nukta tu kati ya mengi aliyokuwa yakijili.

Kwa akili yako kweli unafikiri Samia alikuwa hajui?

NB. Namlaumu sana Mabeyo kwanini wakuwakuchukua nchi ile siku pengine hawa mchwa wanaokula nchi saa hii wasingekuwepo.
Hata mimi nasita kabisa kuamini kuwa Samia alikuwa hajui kuwa Magufuli ana hali mbaya.

Nilivyomuelewa Mabeyo ni kwamba, kwa vile makamu wa Rais hakuwepo wodini kipindi Magufuli anakufa, ndo maana ilibidi afahamishwe.

Lakini kujua kwamba alikuwa yuko hoi, hiyo naamini alijua.
 
Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye Rais anafariki dunia, bado makamu wake hajui chochote, watu wengine wanakaa chini kujadili namna ya kuendesha mambo ya msiba bila makamu wa rais kujua chochote.

Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.
I think they discovered she was snitch!
 
Mimi niliandika uzi humu kwamba kupitia Afande Mabeyo tumejua mke wa Rais wala watoto hawakujulishwa mzee mgonjwa mahututi na hakuletwa hospitali. Uzi ukafutwa. Sasa ngoja nione huu wa Zanzibar-ASP kama utaachwa, manake Wazenji wana special dispensation nchi hii, wanaogopwa kama miungu-watu
Ebana. Kumbe had Jf hakuna uhuru wakujieleza.... Mmmh!
 
Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye Rais anafariki dunia, bado makamu wake hajui chochote, watu wengine wanakaa chini kujadili namna ya kuendesha mambo ya msiba bila makamu wa rais kujua chochote.

Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.
Cha ajabu eti makamu wa rais haambiwi, lakini mitandaoni kulikuwa kumejaa taarifa za huyo mgonjwa na ana hali gani. Hadi huku mitandaoni ikatolewa taarifa kuwa kafariki, na inasubiriwa tu siku ya kutangazwa. Na kweli kile kilichosemwa mitandaoni siku kadhaa nyuma Kabla ya kutangazwa rasmi na serekali, kikatimia! Sasa huyo makamu wa rais alikuwa haingii mitandaoni na kuweza kuhoji uvumi ulioko mitandaoni?
 
Mpumbavu at its best!!President wa nchi yupo ICU fighting for his life,PM analitamkia taifa kuwa yupo na siha Tele,VP eti ana ziara Tanga for 5 days,moja ya mikoa midogo sana nchini,kumweka VP for 5 days pale ile tiss yenye heshima isingeruhusu hili kufanyika,vidudu mtu vilitawala nchi kwa wakati ule,Tiss na PPU ya President Nyerere ilikua super,respected na yes iliogopwa na kila mtanzania,salute kwao hasa mlipofanikiwa kumpeleka President Nyerere pale GABBS kwenye mdomo wa kaburu na kumrudisha nyumbani safely,President Nyerere alisimama pekee juu kabisa na very exposed alipokua akiweka shada la maua kwenye mazishi ya President Khama
Huenda utakuja kujua baadae PENGINE VP alipelekwa Tanga kufichwa siku kadhaa kabla dhidi ya hila mbaya za kusema nae alipata mstuko baada ya Taarifa mbaya

miaka mingi ya baadae Taarifa nyingi zitafichuka

kuna siku pia tutapata jibu ilikuaje Waziri Mkuu alibadilishiwa usafiri kutoka wa Anga hadi wa ardhini na masaa machache baada ya safari kuanza akiwa na Msafara wa magari ya kutosha akatokea Jamaa na Gari akayavuka magari yote ya Msafara akaenda kuligonga la Mheshimiwa kwa mbele na akafariki Mkuu aliekuwa siti ya Nyuma japo alifungwa Mkanda na wengine wote walitoka salama Salmeen na Gari ikakutwa na uharibifu wa kawaida tu kwa mbele kwny Taa na Bampa upande wa kulia wakati Mkuu alikuwa siti ya Nyuma upande wa kushoto
 
Back
Top Bottom