Tetesi: Rais mmoja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yu mahututi

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Habari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya.

Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia wananchi wake.
 
Hapo itakuwa ni {SS} kwa Mzee wa urine au {U} kwa the last king of Scotland.
 
Back
Top Bottom