Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 3,559
- 4,255
Salva kiir Mayardit.
He was ill and old....one of those normal shits in our lives
Salva kiir Mayardit.
Kwani ukisema Salva Kiir utafungwa?Habari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya.
Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia wananchi wake.
Maombi yanatibu??
Afrika banaYanaponya
Wenye kazi zao wamemaliza walichotumwa,njia kuu 2,kupitia chakula au hewa.Habari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya.
Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia wananchi wake.
Kifo ni Kifo tuuu
Kufa kufaana. Yupo anayekodolea jicho kiti Cha mtuHabari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya.
Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia wananchi wake.
Salva KiriMu7 sio?... Madaraka ataachia yule mtoto wake mjingamjinga
Hata mu7 muda wake umeisha sema anahonga malaikaSalva Kiri
Weka hiyo picha hapa.Hivi Museveni amekuwa poisoned? Kila nikiangaliaga picha zake naona mikono imekuwa meusi tii ni kama yupo na shida fulani
Habari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya.
Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia wananchi wake