Mamsosa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2024
- 1,309
- 2,863
Eti tumwombee Mungu! Natamani afe na siku ya msiba wake, waliobaki watakaoenda kumzika waangukiwe na jukwaa wafe pia! NyambaffHabari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya.
Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia wananchi wake.