Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Salvatory wa sudan huyo mwana jesuit
Check twitter utaiona mkuuWeka hiyo picha hapa.
Sio Unaiangalia wewe, maswali unatuuliza sisi.
😀😀😀😀hii commentHapa Sudan au Uganda huku ama kule
Hapana Nimemuoa Mama yako na nilichelewa sana kumuona kwa maana kabla Baba ako ajambaka Ningemtoa Mimi Bikira Yake.Wewe upo sayari gani? Au umeolewa kwenye familia ya rais?
Atakuwa museven au kagameHabari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya.
Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia wananchi wake.
Una majina bandia bado unaandika kishambega unaweka fumbo ,kamfumbie mkeo
USSR
🤣🤣🤣Aisee
Una majina bandia bado unaandika kishambega unaweka fumbo ,kamfumbie mkeo
USSR
Little pussy..Hapana Nimemuoa Mama yako na nilichelewa sana kumuona kwa maana kabla Baba ako ajambaka Ningemtoa Mimi Bikira Yake.
Una Lingine Dogo?
Like yoh?Little pussy..
Je uo ndo ule utabiri wa mkuu britanica au tusubiri utabiri mwingine?Jina bandia halafu unakuwa mwoga tena? sema Salva Kir yupo mahututi. hata juzi Serikali yake imekanusha kuwa amekufa, wanasema anachapa kazi kweli kweli wakati ukweli ni kwamba afya yake ni tia maji tia maji.
Eti nini wewe?na kuna nchi ya Afrika Mashariki wasipotubu na kubadilika itatokea kwa mara ya pili
Lakini wapo watu wakifa wengine wanapata ahueni mpaka wengine wanajipongeza kwa beer.
Salvatory wa sudan huyo mwana jesuit
Kuna siku alifariki namba moja wa nchi fulani. Mzee mmoja akashangilia sana. Kafunga bar nzima watu wanywe yeye atalipa.
Ilikuwa kipindi cha Covid. Jamaa yule aliyefanya sherehe, covid ikajamuondoa mwezi mmoja baadae. Inasemekana alipata Covid akiwa safari. Bila kujua, akaenda haraka haraka kupata chanjo. Ndio ukawa mwisho wake.
Kuna ni ahadi...na hata tukichekana vipi, hakuna manusura ya process inayoitwa kifo