Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
AiseeUna majina bandia bado unaandika kishambega unaweka fumbo ,kamfumbie mkeo
USSR
Kwahyo unataka kusema mwenzako ni shambengaUna majina bandia bado unaandika kishambega unaweka fumbo ,kamfumbie mkeo
USSR
Kama siku mbili hizi zilizopita walivumisha amefarikiSalva kiir Mayardit.
Hapo itakuwa ni {SS} kwa Mzee wa urine au {U} kwa the last king of Scotland.Habari zilizonifikia ni kuwa kuna Rais mmoja katika nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika ya Mashariki yu mahututi na muda wowote Taifa lake linaweza kutangaziwa habari mbaya.
Tukiwa kama wana Jumuiya sio vibaya tukaelekeza maombi kwa Rais huyo ili arudi katika utimamu wake na aendelee kuwatumikia wananchi wake.
hapanaHuyo MU7 umeshindwa kusema tu nchini Ugand?
Kwahiyo amezunguka? ni chief wetu hapa?hapana
Una majina bandia bado unaandika kishambega unaweka fumbo ,kamfumbie mkeo
USSR