Rais Mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amuondolea Kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani, Peter Mutharika


Asubiri ili iweje labda, huyo muhuni atupwe ndani haraka ili somo liwakute mabaradhuli wote.
 
Wasio na akili ni pamoja na wewe unayetaka tujifunze mambo ya nchi nyingine wakati sisi ni sisi.

Sisi tuna tofauti gani na Malawi? Ngoja tu siku kibao kigeuke, hutaamini macho yako. Unadhani watu wanafurahi sana kuumizwa na kudhalilishwa kwa sababu za itikadi? Ikifika huko mtatema hirizi lazima.
 
Ukiwa unafuata katiba iliyokuapisha huna sababu kuogopa
 
Waafrika tuna matatizo lukuki na mambo mengi ya msingi tunayotakiwa kufanya. Hii michezo haina maana ya kujifanya tunalilia demokrasia wakati kiuhalisia hatuamini katika demokrasia.
 
Cha kujifunza hapa ni kwamba viongozi wetu wa kiafrica wamejaa chuki na visasi... Angepeleka muswada bungeni iwe sheria kwa rais yeyote atakàeingia madarakani siyo kumtarget mpinzan wako tu
Alichofanya ni sahihi kabisa. Hilo ni somo kuwa usiwaonee wengine kutokana na madaraka yako. Kwa kuwa siku moja yanaweza kuondoka kutoka kwako. Na wengine wakatumia hayo madaraka vibaya kukulipa ubaya uliowafanyia wengine. Kama ulitenda vyema huna cha kuhofia siku ukiwa huna hayo madaraka.
 
Mkuu sheria siyo katiba na pia usikariri kuwa katiba za nchi zote zipo Kama hii ya kwenu msio na akili pia Lakini pia naomba nikukumbushe kwa Tanzania rais ni sehemu ya bunge
KIFUNGU cha 91 cha katiba ya malawi ndicho kinazuia raisi kushitakiwa humu ujue unaongea na watu wenye akili zao sio wajinga wajinga

Kifungu hicho hapo cha katiba yao ambacho huyo raisi mpya WA MALAWI anataka kujaribu kukivunja hana ubavu huo anataka kuchezea katiba kifungu hicho hapo

91. Immunity
1. No person holding the office of President or performing the functions of
President may be sued in any civil proceedings but the office of President shall
not be immune to orders of the courts concerning rights and duties under this
Constitution.
2. No person holding the office of President shall be charged with any criminal
offence in any court during his term of office.
3. After a person has vacated the office of President, he or she shall not be
personally liable for acts done in an official capacity during his or her term of
office but shall not otherwise be immune.
 
Naona unaparamia mambo yalikuzidi uwezo wa kichwa chako hiyo ya raisi kutoshitakiwa iko kwenye katiba ya malawi kifungu namba 91 CHA KATIBA ya malawi

raisi mpya kaapa kulinda katiba maana yake hatakiwi avunje katiba aliyoapa kuilinda

kifungu cha katiba ya malawi hicho hapo ambacho raisi mpya wa Malawi anataka kuvunja katiba

91. Immunity
1. No person holding the office of President or performing the functions of
President may be sued in any civil proceedings but the office of President shall
not be immune to orders of the courts concerning rights and duties under this
Constitution.
2. No person holding the office of President shall be charged with any criminal
offence in any court during his term of office.
3. After a person has vacated the office of President, he or she shall not be
personally liable for acts done in an official capacity during his or her term of
office but shall not otherwise be immune.
 
Sawa though kwenye hicho kifungu ulichoweka sijaona neno malawi,so yawezekana umequote JMT constitution tu but any way,wakati wa kesi ya uchaguzi yeye na Jane Ansha walileta lawyers kutoka SA.Akishitakiwa kwa Gate cash scandal nashauri uitwe wewe.
 
Sawa though kwenye hicho kifungu ulichoweka sijaona neno malawi,so yawezekana umequote JMT constitution tu
hata wewe ku google tu uandike malawi constutions ili uhakiki kunakushinda aiseee mbona unatia huruma.
 
Mzee wetu wa chama cha mgomba ajipange...amuandae Rais ajae kama alivyofanya Nkurunziza,bila hivyo analo tena kubwa sana
 
Ndugu haya mazumbukuku hawawez kukuelewa
Wao wanadhani watatawala milele?

Lazima itokee siku ambayo ni lazima watatoka madarakani..........

Ndipo hapo sheria zote zilizotungwa kwa ajili ya kujiwekea kinga ili wasishtakiwe, zitakapoondolewa mara moja
 
Hujabalance stori yako. Ni kweli amemuondolea kinga Rais aliyepita, lakini ajabu kajiwekea yeye hiyo kinga kisa yuko madarakani. Na ajaye baada yake anamsubiria! Ahahahahahah!
 
Sisi tulikuwa tunayataka mambo kama haya upinzani ila tumeyapata tayar haina haja ya upinzani tena
 
Mimi nilichojifunza ni kuwa huyu raisi mpaya kaanza kazi kwa kuvunja katiba ya malawi kifungu namba 91 hafai kuigwa.Kifungu alichovunja cha katiba hicho hapo

91. Immunity
1. No person holding the office of President or performing the functions of
President may be sued in any civil proceedings but the office of President shall
not be immune to orders of the courts concerning rights and duties under this
Constitution.
2. No person holding the office of President shall be charged with any criminal
offence in any court during his term of office.
3. After a person has vacated the office of President, he or she shall not be
personally liable for acts done in an official capacity during his or her term of
office but shall not otherwise be immune.
 
Huyo Prof. Peter Mutharika arudi Tanzania maana alishawahi kuishi na kufundisha chuo kikuu cha UDSM jijini Dar es Salaam, Tanzania kufuatana na wasifu wake uliopo ktk intaneti:

Prof. Peter Mutharika -" Tanzania Oyee"
Early career
Mutharika received his law degree from the University of London in 1965. He then received his LL.M and JSD degrees from Yale University in 1966 and 1969 respectively.

As a professor, he has taught at University of Dar es Salaam (Tanzania), Haile Selassie University (Ethiopia), Rutgers University (USA), the United Nations Institute for Training and Research Program for Foreign Service Officers from Africa and Asia at Makerere University (Uganda), and for 39 years at Washington University (USA), and has served as an Academic Visitor at the London School of Economics (UK).

He also served as advisor to the American Bar Association's Rule of Law initiative for Africa. He was also the chair of the Institute for Democracy and Policy Studies in Malawi.

US citizenship controversy
Peter Mutharika's candidacy for position as a government minister and his eligibility for presidency had been controversial because of speculation and doubt over his Malawian citizenship.

A senior Political and Administrative lecturer at the University of Malawi, Mustapha Hussein has stated that his "eligibility should be viewed in the context of his being Malawian, he would be above 35 years of age by 2014, and he has not been convicted of any criminal activities for the past seven-year.".

Malawi's laws however, do not allow dual citizenship and it is widely speculated that he obtained US citizenship whilst living in the US and hence, had renounced his Malawian citizenship as is required by law.

Nonetheless, the US embassy in Lilongwe confirmed that he is not a citizen but a Green card holder. The ruling DPP has stated that Mutharika is a Malawian citizen and would run for president as a Malawian citizen and not an American one. There was controversy that, as the holder of a US Greencard, he owes an allegiance to the United States. Therefore, people on the street are of the view that a nation cannot be run by someone who will be spending the minimum of three months in the US annually required to retain permanent resident status. In February 2014, he relinquished his green card and permanent resident status.

Read More : Peter Mutharika: President of Malawi (born: 1940)
 
Hivi nyinyi maccm ndiyo mnaitumia vibaya hiyo kinga ya kutoshitakiwa kwa kufanya maonezi ya wazi kwa wananchi wenu?

Lazima ujue kuwa unapopewa uongozi wa nchi, ni dhamana ambayo tumekupa ili utekekeze majukumu yako kwa misingi ya haki na unyenyekevu kwa wananchi wako na kutovunja sheria za nchi........

Lakini huyu Jiwe amejisahau kabisa na anaendelea kuisigina Katiba ya nchi waziwazi kabisa, akijidai kuwa yeye ndiye anayelimiliki Jeshi la Polisi

Hakika kwa yale yaliyotokea Malawi, Jiwe akae mguuu sawa, kwa kuwa hata yeye hilo linaweza mtokea, wakati wowote kuanzia sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…