Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Vyuo vya kila mkoa vipo japo siyo mikoa yote lakini kuna zile "brand " za kitaifa kama udsm , sua , mzumbe nk huwezi kataa wasiwekeze mkoani kwako.Hili nalo neno
Kila mkoa uwe na chuo chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyuo vya kila mkoa vipo japo siyo mikoa yote lakini kuna zile "brand " za kitaifa kama udsm , sua , mzumbe nk huwezi kataa wasiwekeze mkoani kwako.Hili nalo neno
Kila mkoa uwe na chuo chake
Kwa mfumo wa Afya wa nchi hii, chuo kikubwa cha Afya kinapaswa kuwepo Mbeya.Hakuna mkwara hapo mkizingua tunahamisha hii nchi ina maeneo mengi tuu yanahitaji kujengewa chuo kikuu.
[QUOTE="bagamoyo, post: 40917988, member: 209]
Ni lazima waTanzania tuwe tunafikiria na kuwaza kesho na ufanisi wa shughuli tunayotaka kuifanya, tuache roho ya umasikini kuona ekari 500 ni nyingi sana hata ikiwa ni kwa ajili ya ukulima wa mtu mmoja. Hongera mzee Jakaya Kikwete kwa kuwapa ukweli, waTanzania wenye mawazo ya uchoyo kuwa kumiliki kingi ni dhambi !
Hilo eneo ni lazima liwe unoccupied ?Nimezibadilisha tu kubwa hekta aya ngoja nianzike heka 500-1000 niambie katika wilaya ya Mbeya ni eneo gani anaweza kupata? Lisiwe ni la misitu ya TFS nk
Tafuta hata ambalo unaona liko occupied useme ni wapiHilo eneo ni lazima liwe unoccupied ?
Maeneo ya pembezoni mwa Nsalaga kule unapata.Tafuta hata ambalo unaona liko occupied useme ni wapi
Hayo mashamba mtawalipa wamiliki? Hayo mabonde na milima unajua kubwa gharama za ujenzi zitakuwa juu au huelewi hilo?Maeneo ya pembezoni mwa Nsalaga kule unapata.
Sasa mkuu, kuwalipa fidia wakulima wa Nsalaga nalo linaweza kuwa ni tatizo ?Hayo mashamba mtawalipa wamiliki? Hayo mabonde na milima unajua kubwa gharama za ujenzi zitakuwa juu au huelewi hilo?
Elewa kitu kimoja hapo Chuo kimeomba eneo serikali ya mkoa inatafuta eneo ambalo hawataingia gharama za kulipa, ingekuwa chuo chenyewe kinataka eneo fulani maana yake kingekuwa na fedha ya kuwalipa wahusika fidia ili waondokeSasa mkuu, kuwalipa fidia wakulima wa Nsalaga nalo linaweza kuwa ni tatizo ?
Hayo mabonde na milima hayana shida sana.
Kwaiyo unataka mradi uende Kambikatoto kwenye vichaka vya bure huko ?
Unajua kwa mtazamo wako (wa ardhi ya kutolipa fidia, iwe tambarare, n.k) ni kwamba huo mradi hautekelezeki hata Iringa mjini, Songea mjini, Tabora, Shinyanga, Kibaha, n.k ?
Unadhani serikali ya mkoa ina eneo ambalo italipata bure ?Elewa kitu kimoja hapo Chuo kimeomba eneo serikali ya mkoa inatafuta eneo ambalo hawataingia gharama za kulipa, ingekuwa chuo chenyewe kinataka eneo fulani maana yake kingekuwa na fedha ya kuwalipa wahusika fidia ili waondoke
Mbeya hakuna eneo la wazi la ukubwa huo labda Ihefu au wabadilishe matumizi ya mashamba ya chai kule Rungwe,kwa ufupi Mbeya imeshonana.maeneo yaliyo wazi ni ama hifadhi za misitu au mashamba ya chai au makambi ya majeshi yetu.Naunga Mkono Kikwete Kaona Mbali
Unadhani serikali ya mkoa ina eneo ambalo italip
Ni hivi kisheria Ardhi inamilikiwa na kijiji/mtaa, halamshauri husika hivyo ukienda mkoani RAS anamwandikia mkurugenzi wa halamshauri husika atafute hiyo ardhi sawa kijana nakutakia usiku mwemaUnadhani serikali ya mkoa ina eneo ambalo italipata bure ?
Kama ilivyokwa Muhimbili na Mlonganzila, Mbeya hakuna ardhi ya bure ya hizo ekari nyingi.Muhimu wasilazimishe kutafuta hizo hekari 500 kwa kuwapora wanyonge ardhi yao, wakitaka kuzipata wawe tayari kuwalipa fidia wote watakaoathirika na hili wazo la Kikwete.
Sioni sababu kwanini wasijenge vitu vichache vya msingi kwa eneo lililopo, hizo nyumba za wahadhiri, hosteli, na hospitali vinaweza kuwa sehemu nyingine bora pasiwe mbali sana na chuo, kuliko kulazimisha vyote viwe pamoja kama chuo kimekuwa mbuga ya wanyama.
UDOM majengo yamekuwa makazi ya popo,kwanini chuo kiwe na eneo kubwa kiasi hicho wakati ni baadhi tu ya vitivo vitakuwa hapo, tungejifunza kutoka ujenzi wa UDOM na maumizi yakeYuo sahihi sana. Viongozi wa Tanzania, walio wengi uwezo wao wa kufikiri unaishia miaka mitatu. Hawafikrii miaka 50 au 100 ijayo, kama chuo kitataka kuongeza majengo, hizo ekari 50 zitakidhi hitaji hilo.
Kijiji hakiwezi kukupa ardhi zaidi ya hekta 250 au hekta 100.Ni hivi kisheria Ardhi inamilikiwa na kijiji/mtaa, halamshauri husika hivyo ukienda mkoani RAS anamwandikia mkurugenzi wa halamshauri husika atafute hiyo ardhi sawa kijana nakutakia usiku mwema
Acha kujichanganya wewe umesema ardhi ipo nimekuuliza iko wapi?Kijiji hakiwezi kukupa ardhi zaidi ya hekta 250 au hekta 100.
Muungwana sana.Kikwete ni kiongozi mstaarabu sana. JK hawezagi kumvunjia mtu heshima bila kujali kachukia au ujumbe wake una uzito kiasi gani. Uishi sana JK.
Dogo mimi najua kijiji mwisho wake ni Heka 50 kisheria, rejea swali aliloulizwa hadi mimi nikakujibu kisheria taasisi zenye mamlaka ya kumiliki ardhiKijiji hakiwezi kukupa ardhi zaidi ya hekta 250 au hekta 100.
awamu ya nne ilikuwa ya kifisadi mno,
matumizi mabaya ya madaraka,
baba mkuu wa chuo,
Mama Mbunge
Mtoto Mbunge,
Kwa kodi zetu.
Mueleze aelewe..Itachukua Karne kumpata Kikwete