Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mie Namuona Hana ushawishi kbs hata ongea yake haina ushawishi..dah...ila kweli sijui kakosa niniMuulize kuwa mkewe kakosa nini Hadi anahangaika na siasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie Namuona Hana ushawishi kbs hata ongea yake haina ushawishi..dah...ila kweli sijui kakosa niniMuulize kuwa mkewe kakosa nini Hadi anahangaika na siasa?
Pole sana Doctor. Mungu awatie nguvu wakati huu. RIP Mzee wetu.Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili eneo la msiba nyumbani kwa marehemu mzee Gabriel Ndugulile Ferry Kigamboni Jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kwa msiba huo.
View attachment 1514787
Ulipotelea wapi?😍Mie Namuona Hana ushawishi kbs hata ongea yake haina ushawishi..dah...ila kweli sijui kakosa nini
Mie sitaki uraibu wa mitandao Kama drone camera😀😀..kifupi Bashite ndo.alinifanya nirudi😀😀.napotea Tena soonUlipotelea wapi?😍
Tunajadili ujio wa mzee wa msoga..!Poleni wafiwa.
Japo sijaelewa tunachojadili hapa.
Poleni na msiba, je huyu mmama mwenye gauni jeusi lenye vidoti vyeupe ni nani kapendeza sana.Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili eneo la msiba nyumbani kwa marehemu mzee Gabriel Ndugulile Ferry Kigamboni Jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kwa msiba huo.