Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ahudhuria msiba wa Gabriel Ndugulile, Baba wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni

Yaap, hata Mzee baba yule mweusi hataweza kuachana nae
 
Picha:

Kwa uhakika kabisa Coronavirus imekwisha Tanzania!

Ni historia, au haikuwahi kuwepo hata siku moja?

Inachanganya sana.
 
Muulize kuwa mkewe kakosa nini Hadi anahangaika na siasa?
Inawezekana wengi wasilielewe swali lako.

Ngoja mimi nijaribu kulijibu: Yeye kama yeye (mke) naye anataka kuweka 'legacy' yake, asitegemee kivuli cha mme. Ana 'ambition' zake mwenyewe.
Pengine anaamini hii ni dunia ya sasa, ambapo tamaduni zinafifia. Kuna siku yeye (mke) ndie atakayekuwa mwenye nyumba na mme kuwa mwenza tu.

Hawa wengine wetu wamekwishavuka hizi shida ndogo ndogo zinazotukabili wengi wetu. Hawasumbuki tena kwenda kuchanja kuni au kutafuta maji maili tano toka nyumbani. Muda wanao mwingi na unapokosa kitu cha kuutumia muda huo unawaza kila aina ya takataka, ikiwa ni pamoja na siasa.

Sasa sijui kama nitaeleweka hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…