Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ahudhuria msiba wa Gabriel Ndugulile, Baba wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni

Karibia wote alichomoka nao, wachache walibaki na mpya japo nao washachomoka.
 
Baba wa Ndungulile na Kikwete walikuwa ni marafiki wa karibu fulani hivi (urafiki wa kimfumo na matukio). Nguvu ya JK ndiyo iliyomuweka Ndungulile kwenye ubunge mwaka 2010 sababu ya urafiki wao.
Ndungulile amebebwa na amebebeka, sasa hivi ameweza kujisimamia na kuwa mwanasiasa kikamilifu.
Sasa hivi Ndungulile ndiye anakwenda kuwa Mbunge wa Taifa baada ya Kumtwanga Bashite
 
Kikwete alishamtosa makonda baada ya kuhalibu deal zake.

Kiujumla kikwete hana hamu na serikali ya jpm.
 
Vipi makonda amefika kumpa pole Dr Ndungulile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…