Siyo kama yule. Muda wote alikuwa amefura kama kifutu. Uso ulijaa giza. Mtu akimuangalia anahisi kufa. Sijui alitokea wapi mtu yule??? Agggrrr! Tusirudie tena!Mzee Kikwete bado ananguvu,yuko fit alafu ana nuru.hana tofauti na mzee Mwinyi maisha marefu yenye baraka na afya nzuri.
namtakia kila la heri Rais wetu mstaafu mzee Kikwete🙏