Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo

Ila nawakumbusha tuu...mihangaiko yote hiyo ni kwa ajiri ya mbususu🀣🀣🀣
 
Huo uwazi angeenda nao mbali zaidi kwa kuwataja hao wavivu wa kutafuta kwa majina ya makabila na maeneo Kama alivyofanya kwa kuwataja wachagga.

Tunasubiri…. Na awe mkweli tupu beyond any reasonable doubt.
Aaah jamani kumbe wewe ni mshabiki wa Uto?
 
O
Baba Rais
Mke Bungeni
Mtoto Bungeni

Ushauri wake: Mjitume
na akili za kigogo za uvivu!! Kwa iyo ulitaka akuite ww uwe sawa na mwanaye Ridhiwan au mke wake Salma? Hawez kukupa riziki ya familia yake sasa!! Au ulitaka Ridhiwan awe mwalimu wa shule ya msingi tandaimba ili uone Kuna usawa??? Fanya kazi ,,
 
Anafwagila ukweni kwake...yaani kwa mama Rizimoko?
 
Tushaammka kitambo sana tu lakini ni wengi wetu hatupo kwenye huo mwamko wako wa wizi na ubadhirifu wa mali na uharibifu wa jamii.

Uzuri Dunia hailali na deni, utalipa wewe na wa kwako. Hata kimya kimya.

The world is still so undiscovered and full of richness for all generations to come, why should I be a Barbarian for me and mine to achieve our life goals?!

To each their own.
Namaste.
 
I dont want to live in a hole anymore, it makes me feel poor.

WE ARE POOR BUT WE ARE HAPPY

Comes si comes sa the views are better above ground and im going to do something about it.

Fantastic mr fox
 
Ni sawa, nimeplay part yangu kama baba, kuna raha gani watoto wako wakiwa maskini wakati ulipata chance ya kubadilisha maisha yao, tuache kutiana moyo ndugu, tutafute pesa kwaajili ya vizazi vyetu
 
What a stupid man he is!
Nchi inajengwa na Sera Bora, na siasa safi,hiyo Kilimanjaro ya wachagq, kwa nini isiwe kama Hong Kong, au Dubai? Siasa chafu,maagizo nini kifsnyike ndani ya nchi hii, yanafanywa kutokea ikulu, na ccm, wakati wake, aliiba gesi ya songosongo,sasa nchi itaendelea vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…