Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo

Ila nawakumbusha tuu...mihangaiko yote hiyo ni kwa ajiri ya mbususu🤣🤣🤣
 
Huo uwazi angeenda nao mbali zaidi kwa kuwataja hao wavivu wa kutafuta kwa majina ya makabila na maeneo Kama alivyofanya kwa kuwataja wachagga.

Tunasubiri…. Na awe mkweli tupu beyond any reasonable doubt.
Aaah jamani kumbe wewe ni mshabiki wa Uto?
 
O
Baba Rais
Mke Bungeni
Mtoto Bungeni

Ushauri wake: Mjitume
na akili za kigogo za uvivu!! Kwa iyo ulitaka akuite ww uwe sawa na mwanaye Ridhiwan au mke wake Salma? Hawez kukupa riziki ya familia yake sasa!! Au ulitaka Ridhiwan awe mwalimu wa shule ya msingi tandaimba ili uone Kuna usawa??? Fanya kazi ,,
 
#Repost @mwananchi_official
——
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kwa maendeleo.

Kikwete ametoa sifa hizo kwa Wachaga, huku akiyahusisha baadhi ya makundi ya watu nchini, ambayo hata kulima kwa ajili ya mlo wao wanalazimika kusukumwa.

Kikwete ametoa kauli hiyo jana Jumatatu, Desemba 23, 2024 alipowaongoza maelfu ya wanariadha katika mbio za Rombo Marathon zilizofanyika katika Hifadhi ya Msitu wa Rongai wilayani Rombo, Kilimanjaro.

"Kuna maeneo hapa nchini watu hata kujilimia chakula chao inabidi usukumane nao, lakini hakuna Mchaga utakayemsukuma kwa kujiletea maendeleo, na hiyo ndio siri, uzuri Wachaga hawasahau kwao kila mwaka wanakwenda kuhesabiwa," amesema.

Kwa mujibu wa Kikwete, mtindo wa kwenda nyumbani kila mwisho wa mwaka unajenga ushawishi kwa wengine kuonyesha hatua za maendeleo walizopiga.

"Niwapongeze wananchi wa Rombo kwa moyo wenu wa kujituma na kujiletea maendeleo, mimi nimefanya kazi wilayani, mkoani, wizarani na katika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi yetu, Watanzania wote wangekuwa na ari ya wachaga nchi yetu ingepiga hatua kubwa, endeleeni na moyo huo," amesema.

(Imeandikwa na Janeth Joseph)
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Anafwagila ukweni kwake...yaani kwa mama Rizimoko?
 
Hii nakuambia kwa uzoefu wangu bwashee

Ndio sikatai nimezaliwa na ninaishi kwenye 3rd world country, hii sio excuse, nitaishi maisha mazuri, watoto wangu ni lazima wasome vizuri wale vizuri mimi baba yao sasa nitaparangana kwa namna yoyote ile, watu tuache ukondoo wa kuambizana eti kuna sababu ya wewe kuwa hapo nye nye nye na ujinga mwingi usio na maana, tusitiane umaskini bro, mwisho wa siku mtu anacheka na kusema bora umaskini wenye furaha 😂😂😂 tuamke watanzaniaaa tuamke waafrika
Tushaammka kitambo sana tu lakini ni wengi wetu hatupo kwenye huo mwamko wako wa wizi na ubadhirifu wa mali na uharibifu wa jamii.

Uzuri Dunia hailali na deni, utalipa wewe na wa kwako. Hata kimya kimya.

The world is still so undiscovered and full of richness for all generations to come, why should I be a Barbarian for me and mine to achieve our life goals?!

To each their own.
Namaste.
 
I dont want to live in a hole anymore, it makes me feel poor.

WE ARE POOR BUT WE ARE HAPPY

Comes si comes sa the views are better above ground and im going to do something about it.

Fantastic mr fox
 
Tushaammka kitambo sana tu lakini ni wengi wetu hatupo kwenye huo mwamko wako wa wizi na ubadhirifu wa mali na uharibifu wa jamii.

Uzuri Dunia hailali na deni, utalipa wewe na wa kwako. Hata kimya kimya.

The world is still so undiscovered and full of richness for all generations to come, why should I be a Barbarian for me and mine to achieve our life goals?!

To each their own.
Namaste.
Ni sawa, nimeplay part yangu kama baba, kuna raha gani watoto wako wakiwa maskini wakati ulipata chance ya kubadilisha maisha yao, tuache kutiana moyo ndugu, tutafute pesa kwaajili ya vizazi vyetu
 
#Repost @mwananchi_official
——
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kwa maendeleo.

Kikwete ametoa sifa hizo kwa Wachaga, huku akiyahusisha baadhi ya makundi ya watu nchini, ambayo hata kulima kwa ajili ya mlo wao wanalazimika kusukumwa.

Kikwete ametoa kauli hiyo jana Jumatatu, Desemba 23, 2024 alipowaongoza maelfu ya wanariadha katika mbio za Rombo Marathon zilizofanyika katika Hifadhi ya Msitu wa Rongai wilayani Rombo, Kilimanjaro.

"Kuna maeneo hapa nchini watu hata kujilimia chakula chao inabidi usukumane nao, lakini hakuna Mchaga utakayemsukuma kwa kujiletea maendeleo, na hiyo ndio siri, uzuri Wachaga hawasahau kwao kila mwaka wanakwenda kuhesabiwa," amesema.

Kwa mujibu wa Kikwete, mtindo wa kwenda nyumbani kila mwisho wa mwaka unajenga ushawishi kwa wengine kuonyesha hatua za maendeleo walizopiga.

"Niwapongeze wananchi wa Rombo kwa moyo wenu wa kujituma na kujiletea maendeleo, mimi nimefanya kazi wilayani, mkoani, wizarani na katika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi yetu, Watanzania wote wangekuwa na ari ya wachaga nchi yetu ingepiga hatua kubwa, endeleeni na moyo huo," amesema.

(Imeandikwa na Janeth Joseph)
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
What a stupid man he is!
Nchi inajengwa na Sera Bora, na siasa safi,hiyo Kilimanjaro ya wachagq, kwa nini isiwe kama Hong Kong, au Dubai? Siasa chafu,maagizo nini kifsnyike ndani ya nchi hii, yanafanywa kutokea ikulu, na ccm, wakati wake, aliiba gesi ya songosongo,sasa nchi itaendelea vipi?
 
Back
Top Bottom