Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuchota pesa za Epa akishirikiana na washikaji zake wana mtandao? Na kumkashifu juu kwamba Dr.salim ni muuaji wa Karume?Urais sio lelemama wewe huyo baba alipata urais kwa kujituma haswa acha mkewe na wanawe wafaidi juhudi zake wivu mwingine hauna maana
Baba Rais
Mke Bungeni
Mtoto Bungeni
Ushauri wake: Mjitume