Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo

Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo

Jk angekuwa Mchaga nisingemuunga mkono kwa kauli yake, ila kwakuwa sio Mchaga basi neseme WACHAGA HOYEEEEE!!!
Wahaya na Wasukuma punguzeni makasiriko kwny comments😁
 
Urais sio lelemama wewe huyo baba alipata urais kwa kujituma haswa acha mkewe na wanawe wafaidi juhudi zake wivu mwingine hauna maana
Kwa kuchota pesa za Epa akishirikiana na washikaji zake wana mtandao? Na kumkashifu juu kwamba Dr.salim ni muuaji wa Karume?
 
Back
Top Bottom