CODE-04 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 961 Reaction score 2,716 Dec 24, 2024 #81 Jk angekuwa Mchaga nisingemuunga mkono kwa kauli yake, ila kwakuwa sio Mchaga basi neseme WACHAGA HOYEEEEE!!! Wahaya na Wasukuma punguzeni makasiriko kwny comments😁
Jk angekuwa Mchaga nisingemuunga mkono kwa kauli yake, ila kwakuwa sio Mchaga basi neseme WACHAGA HOYEEEEE!!! Wahaya na Wasukuma punguzeni makasiriko kwny comments😁
Coach Slamah Hamad JF-Expert Member Joined Nov 12, 2014 Posts 3,740 Reaction score 4,938 Dec 24, 2024 #82 Kumbe ni Kolo on the one n’ two? Sio Mimi huyo.
Tajiri wa kusini JF-Expert Member Joined Nov 28, 2022 Posts 1,079 Reaction score 2,947 Dec 24, 2024 #83 Baba Heri said: Urais sio lelemama wewe huyo baba alipata urais kwa kujituma haswa acha mkewe na wanawe wafaidi juhudi zake wivu mwingine hauna maana Click to expand... Kwa kuchota pesa za Epa akishirikiana na washikaji zake wana mtandao? Na kumkashifu juu kwamba Dr.salim ni muuaji wa Karume?
Baba Heri said: Urais sio lelemama wewe huyo baba alipata urais kwa kujituma haswa acha mkewe na wanawe wafaidi juhudi zake wivu mwingine hauna maana Click to expand... Kwa kuchota pesa za Epa akishirikiana na washikaji zake wana mtandao? Na kumkashifu juu kwamba Dr.salim ni muuaji wa Karume?
Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 6,696 Reaction score 6,734 Dec 24, 2024 #84 Mad Max said: Baba Rais Mke Bungeni Mtoto Bungeni Ushauri wake: Mjitume Click to expand... Lack of moral authority to guide the ship to its destination
Mad Max said: Baba Rais Mke Bungeni Mtoto Bungeni Ushauri wake: Mjitume Click to expand... Lack of moral authority to guide the ship to its destination