Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo

Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo

Kujituma kivipi sasa,mbona watu wengi wanajituma sana au kujituma kwa kila mwisho wa mwaka kwenda makwao,tumeshawahi kujiuliza kwanini wanatumia nguvu nyingi sana kuhakikisha kuwa mwisho wa mwaka lazima warudi kwao.....
Wanajituma wapi wewe? Mnacheza bao na kukaa vijiweni na kukumbati

tamaduni za kishenzi na ushirikina. Wengine hawana utamaduni wala uwezo
wa kwenda kwao ndio maana.
 
Ndio ni muhimu, utu haukupi ugali mezani, utu haulipi ada tuache siasa za kiimani, kuna watoto wamesomeshwa kwa hela za wizi ni madaktari wazuri na wanatutibu tunapona
Kwa maana hiyo ni rukhsa kufanya ushenzi ili mradi tu the end justifies the means?!?

Hii ni mentality ya binaadam aliyevuka kiwango cha utu na kuwa hayawani, hawazi kesho yake wala ya wengine ni leo yake na wa tumbo lake.

Wala sio ajabu vita dhidi ya ufisadi na rushwa inazidi kuwa ni motivation and not vita!
 
#Repost @mwananchi_official
——
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kwa maendeleo.

Kikwete ametoa sifa hizo kwa Wachaga, huku akiyahusisha baadhi ya makundi ya watu nchini, ambayo hata kulima kwa ajili ya mlo wao wanalazimika kusukumwa.

Kikwete ametoa kauli hiyo jana Jumatatu, Desemba 23, 2024 alipowaongoza maelfu ya wanariadha katika mbio za Rombo Marathon zilizofanyika katika Hifadhi ya Msitu wa Rongai wilayani Rombo, Kilimanjaro.

"Kuna maeneo hapa nchini watu hata kujilimia chakula chao inabidi usukumane nao, lakini hakuna Mchaga utakayemsukuma kwa kujiletea maendeleo, na hiyo ndio siri, uzuri Wachaga hawasahau kwao kila mwaka wanakwenda kuhesabiwa," amesema.

Kwa mujibu wa Kikwete, mtindo wa kwenda nyumbani kila mwisho wa mwaka unajenga ushawishi kwa wengine kuonyesha hatua za maendeleo walizopiga.

"Niwapongeze wananchi wa Rombo kwa moyo wenu wa kujituma na kujiletea maendeleo, mimi nimefanya kazi wilayani, mkoani, wizarani na katika ngazi ya juu kabisa ya uongozi wa nchi yetu, Watanzania wote wangekuwa na ari ya wachaga nchi yetu ingepiga hatua kubwa, endeleeni na moyo huo," amesema.

(Imeandikwa na Janeth Joseph)
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Kumbe wachaga sio WaTanzania😁
 
Kwa maana hiyo ni rukhsa kufanya ushenzi ili mtaji tu the end justifies the means?!?

Hii ni mentality ya binaadam aliyevuka kiwango cha utu na kuwa hayawani, hawazi kesho yake wala ya wengine ni leo yake na wa tumbo lake.

Wala sio ajabu vita dhidi ya ufisadi na rushwa inazidi kuwa ni motivation and not vita!
1st world countries zinaendeshwa kwa pesa chafu za magenge pamoja na zuluma zote, waafrika tuache kujifanya tunajua sana dignity, Integrity na upuuzi mwingine wakati tumejaa roho mbaya, bora tuweke wazi sura zetu halisia
 
Amka ndugu! Wewe sio “first world country” na kamwe hutoweza kuvuka hii status yako ya “third world country”! Not while They are still in control!

Unadhani walioweka hizo classes wamefanya kwa kuzingatia umaskini wako? Kwa umaskini upi sasa meanwhile you’re the source of life ambapo almost the whole “first world countries” wananyonya hapo?

Tamaa yako ya kutaka kufanana na kitu (watu) wasio watu wako itakufanya (inakufanya) ufikie maamuzi mabaya na kuingia mikataba mibovu na kutenda maovu kisa uwe Kama fulani!!

Kuna sababu kwanini upo hapo ulipo na umezaliwa/umbwa na kujikuta hapo, itafute hiyo sababu na itumikie kwa uhakika na Utu wako wote , lazima ufike tamati njema!

Wao wameshalielewa dhumuni la uwepo wao hapo walipo na ndio maana wamejiweka juu yako, so never ever kill who you are just for you to become a damned copy of stupidity and insanity of the first class of the world zombies!
 
Urais sio lelemama wewe huyo baba alipata urais kwa kujituma haswa acha mkewe na wanawe wafaidi juhudi zake wivu mwingine hauna maana
Kwani kuna mtu alimlazimisha kugombea urais? Kama alijituma ilikua ni moja ya mambo ambayo kama kiongozi anapaswa kufanya.

Kwa mantiki hiyo unahisi kujituma kwake ni kama vile alikua anatufanyia favour ambayo return yake ni kuifanya familia yake pia iwr kwenye nafasi hizo za ubunge.

Kwani wakatai anagombea urais hakujua kuwa anapaswa kujituma kuboresha uchumi na welfare za watz?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Wakwere wana unafuu na sio wabaguzi ila hao wengine ni wavivu na wabuguzi.
Ingependeza kama ungetoa statement uliyo na hakika nayo pasi na shaka kwa 110%.

Wakwere hawa hawa wa pale Kiwangwa? Magulu? Lugoba? Mapori ya Saadani?

Ama wapi? Ndugu zao wa karibu Sana wako huko Morogoro.
 
Kuna sababu kwanini upo hapo ulipo na umezaliwa/umbwa na kujikuta hapo, itafute hiyo sababu na itumikie kwa uhakika na Utu wako wote , lazima ufike tamati njema!
Hii nakuambia kwa uzoefu wangu bwashee
Amka ndugu! Wewe sio “first world country” na kamwe hutoweza kuvuka hii status yako ya “third world country”! Not while They are still in control!

Unadhani walioweka hizo classes wamefanya kwa kuzingatia umaskini wako? Kwa umaskini upi sasa meanwhile you’re the source of life ambapo almost the whole “first world countries” wananyonya hapo?

Tamaa yako ya kutaka kufanana na kitu (watu) wasio watu wako itakufanya (inakufanya) ufikie maamuzi mabaya na kuingia mikataba mibovu na kutenda maovu kisa uwe Kama fulani!!

Kuna sababu kwanini upo hapo ulipo na umezaliwa/umbwa na kujikuta hapo, itafute hiyo sababu na itumikie kwa uhakika na Utu wako wote , lazima ufike tamati njema!

Wao wameshalielewa dhumuni la uwepo wao hapo walipo na ndio maana wamejiweka juu yako, so never ever kill who you are just for you to become a damned copy of stupidity and insanity of the first class of the world zombies!
Ndio sikatai nimezaliwa na ninaishi kwenye 3rd world country, hii sio excuse, nitaishi maisha mazuri, watoto wangu ni lazima wasome vizuri wale vizuri mimi baba yao sasa nitaparangana kwa namna yoyote ile, watu tuache ukondoo wa kuambizana eti kuna sababu ya wewe kuwa hapo nye nye nye na ujinga mwingi usio na maana, tusitiane umaskini bro, mwisho wa siku mtu anacheka na kusema bora umaskini wenye furaha 😂😂😂 tuamke watanzaniaaa tuamke waafrika
 
Back
Top Bottom