Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

Hiyo press release imeelezea kila kitu.
 
Ndagha phijo
Jk mjanja sana ! Kamteuwa huyu ndaga pijo ili amsaidiye wa kukaye mwakalinga wa tba kuziba ule UFA kwenye media utaona joint force na watz wote tutaonekana akili kama Jeni muro
 
Ha ha ha labda best yake Jakaya (Chancellor) anaweza kumtafutia kacheo kakubwa kubwa
JK ndiyo hawezi kabisa ccm wanamjua vizuri ni kigeugeu, wanamjua kwa sababu wengi wao ni wanafunzi wake na pia ni mropokaji
 
Jk mjanja sana ! Kamteuwa huyu ndaga pijo ili amsaidiye wa kukaye mwakalinga wa tba kuziba ule UFA kwenye media utaona joint force na watz wote tutaonekana akili kama Jeni muro
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimecheka kwa herufi kubwa!! Kweli kila mtu ana mawazo yake
 
Je, hii process ni kwa UDSM tu au University zote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…