Chato ni Jamhuri ya Kongo sio Tanzania? Ila kujenga vituo vya mafuta kila baada ya mita 300 kwa umbali wa kilomita 50 kutoka Ruvu hadi Chalinze ndio sahihi?
Mbona hakusema imekamilika awamu ya sita bila kumtaja Samia? Hizo zote ni fitina zake na chuki dhidi ya Jiwe kwani enzi za Jiwe alikuwa hana issue alikuwa anachunga punda wake kijijini kwao ; siku hizi yuko mjini full time anatawala!!

JPM kuachana na miradi ya kikwete ya bagamoyo na gesi sababu aliona haina maslahi kwa taifa sio fitina ila JK kusifia kumalizika kwa mradi wa ikulu ni fitina na chuki.
Tatizo si chuki kati ya JK na JPM maana wote wanatekeleza ilani ya CCM. Kuna tatizo lingine, na hili tatizo ni jipya na linakomaa kila siku, sasa hivi lina mtoto anaitwa "SHANGILIA VIFO"