Rais mstaafu Jakaya Kikwete aongelea Ikulu mpya, aisifu kwa uzuri wake

Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na awamu ya tano na kukamilika na awamu ya sita chini ya ungozi wa Mama Samia Suluhu Hassan.
Na aligawiwa tausi hapohapo tukishuhudia

1684593583410.png
 
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesifu amuzi wa serikali kujenga ikulu Dodoma. Amesifu ujenzi wa ikulu mpya na kusema kuwa ikulu hiyo ndio uthibitisho wa adhma ya serikali kuhamia Dodoma. Asema imekamilikia vizuri na inapendeza.

Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na awamu ya tano na kukamilika na awamu ya sita chini ya ungozi wa Mama Samia Suluhu Hassan.
uzuri upi? weupe wa rangi? Jumba limekaa kama magofu ya waarabu kilwa
 
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesifu amuzi wa serikali kujenga ikulu Dodoma. Amesifu ujenzi wa ikulu mpya na kusema kuwa ikulu hiyo ndio uthibitisho wa adhma ya serikali kuhamia Dodoma. Asema imekamilikia vizuri na inapendeza.

Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na awamu ya tano na kukamilika na awamu ya sita chini ya ungozi wa Mama Samia Suluhu Hassan.
AMESEMA SERIKALI YA AWAMU YA TANO ILIWEKA MKAZO MKUBWAKATIKA KUJENGA IKULU , KUTAJA SERIKALI KESHATAJA KIONGOZI WA JUU WE UNACHOWAZA SIO WATU WOTE TUTAWAZA KAMA WEWE , HATA AKITAJA ANAKUONGEZEA NN AU UNAPUNGUKIWA NA NN
 
John Pombe Joseph Magufuli hazuiliki kutajwa
Hazuiliki kuongelea
Hazuiliki kupongezwa

Jina lake litaishi vizazi na vizazi

Rest well Papa John Pombe Joseph Magufuli
 
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesifu amuzi wa serikali kujenga ikulu Dodoma. Amesifu ujenzi wa ikulu mpya na kusema kuwa ikulu hiyo ndio uthibitisho wa adhma ya serikali kuhamia Dodoma. Asema imekamilikia vizuri na inapendeza.

Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na awamu ya tano na kukamilika na awamu ya sita chini ya ungozi wa Mama Samia Suluhu Hassan.
Acha uongo ,ametoa credit, Kikwete hajawahi kuwa roho mbaya
 
Ngoja tuone kama wataishi au kukaa hapo ikulu, wanaondoka soon hao wazuri vita inaendelea .

Wataendelea kuweka watu wao mpaka hapo akili za watz zitakapo amua kutoka usingizini. Haijalishi watakufa au lah
 
Kuna kakikundi mtandaoni linapokuja suala la JPM kanataka kutengeneza attention isiyo na ulazima.

Kwani JK aliposema zilianza na awamu ya tano alimaanisha nn?
Kujenga hiyo ikulu nijuhudi za mtu binafsi mwenye uthubutu na msimamo usioyumba.
Alitakiwa kumtaja tu,hataivyo wananchi wanajua jembe ndio chanzo cha mafanikio yote hayo ya mpango wa serikali kuhamia Dodoma.
Usipo mtaja watu wanakushangaatu.
 
Wanajua Huyo ndio mchawi wake!!
 
Kuna kakikundi mtandaoni linapokuja suala la JPM kanataka kutengeneza attention isiyo na ulazima.

Kwani JK aliposema zilianza na awamu ya tano alimaanisha nn?
Mbona hakusema imekamilika awamu ya sita bila kumtaja Samia? Hizo zote ni fitina zake na chuki dhidi ya Jiwe kwani enzi za Jiwe alikuwa hana issue alikuwa anachunga punda wake kijijini kwao ; siku hizi yuko mjini full time anatawala!!
 
Wapinzani bado wanateswa na mzimu wa jpm, kikweye hajataja marais wowote waliopita, kataja awamu tu bilq kuaema zilifanya nini kwa muda wao, target yake ilikua aelezee kipindi chake alifanya nini.. kaongelea kipindi chake tu na alifanya nini..
Kipindi chake alijenga ukumbi wa mikutano pale Magogoni na kuharibu mandhari yote ya Ikulu! Huo ndio ulikuwa ukomo wa uwezo wa akili yake.
 
John Pombe Joseph Magufuli hazuiliki kutajwa
Hazuiliki kuongelea
Hazuiliki kupongezwa

Jina lake litaishi vizazi na vizazi

Rest well Papa John Pombe Joseph Magufuli
Km ambavyo haizuiliki kumtaja Iddi Amini, Hitler
 
Mbona hakusema imekamilika awamu ya sita bila kumtaja Samia? Hizo zote ni fitina zake na chuki dhidi ya Jiwe kwani enzi za Jiwe alikuwa hana issue alikuwa anachunga punda wake kijijini kwao ; siku hizi yuko mjini full time anatawala!!
Yupo mjini kabla ht Magufuli hajaletwa Tz kutoka kwao
 
Back
Top Bottom