Rais mstaafu Jakaya Kikwete aongelea Ikulu mpya, aisifu kwa uzuri wake

Rais mstaafu Jakaya Kikwete aongelea Ikulu mpya, aisifu kwa uzuri wake

Kuna MAJITU YANATESEKA JAMANI.

Kenge kweli,hajatajwa,hajatajwa,mbona frani hajamtaja magufuri.
Harafu unakuta ni jitu Zima kabisa.

Shetani hatajwitajwi mahala patakatifu.
unajua ni roho ngapi zinalia kisa Jinga moja hivi.
Kuongoza watu zaidi ya millions 60,afu unalazimisha kufanya unavyotaka wewe kanakwamba ni familia yako,shwaini.
Nini maana ya KATIBA.
Haya sasa,nendeni mahakamani Kenge KIJANI KIBICHI.

Kwani hella ilikuwa yake au ya serikali.
Endeleeni kubweka,na bado mjifunze KUNGUNI nyie.
Ukimaind fresh,NIPO zangu napata GAMBE NIPO NZII.
 
Angemtajaje Magufuli aliyefisidi rasilimali zote za taifa akaenda kujenga Chato? Na ile hoteli ya nyota 5 aliyojenga Chattle kwa kutumia hela za walipakodi sasa imegeuka maskani ya popo. Mungu hamfichi mwizi.
Gasho kweli wewe..

[emoji23] [emoji23] Taja kiasi cha pesa kilichoenda chato
 
Kuna MAJITU YANATESEKA JAMANI.

Kenge kweli,hajatajwa,hajatajwa,mbona frani hajamtaja magufuri.
Harafu unakuta ni jitu Zima kabisa.

Shetani hatajwitajwi mahala patakatifu.
unajua ni roho ngapi zinalia kisa Jinga moja hivi.
Kuongoza watu zaidi ya millions 60,afu unalazimisha kufanya unavyotaka wewe kanakwamba ni familia yako,shwaini.
Nini maana ya KATIBA.
Haya sasa,nendeni mahakamani Kenge KIJANI KIBICHI.

Kwani hella ilikuwa yake au ya serikali.
Endeleeni kubweka,na bado mjifunze KUNGUNI nyie.
Ukimaind fresh,NIPO zangu napata GAMBE NIPO NZII.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Magufuli bado anawabutua hata baada ya kufa mbwa nyie
 
Sawa Sawa ndio ukipita mitaani Shujaa Magufuli anakumbukwa hadi na Tundu Antipas Lisu 😄😄😄

Tundu Lisu: CCM wanamsema sema Magufuli kwa sababu ameshakufa

Punguza umbea. Lissu kaingiaje hapa. Unajaribu kujificha kwenye mgongo wa Lissu lakini wapi.
 
Mbona amemtaja?? Unapata faida gani kusema uongo?
Nashangaa na huyu anasema hajamtaja isije kuwa alikuwa anasikiliza hotuba za zamani, Kikwete kawataja wote na haya aliyosema aliwahi kuyasema wakati wanaweka jiwe la msingi na JPM alikuwa hai sio kwamba anasema kwakuwa JPM hayupo, ni lazima watu wajue hii ilikuwa sera ya CCM na amekiri JPM ndio wakati wake ali push hii sera sasa ni wapi Kikwete hajamtaja JPM? watu ni mradi watafute chokochoko tu hawa ni CCM na ni wamoja wanajuwana vizuri.
 
Back
Top Bottom