Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kuna kakikundi mtandaoni linapokuja suala la JPM kanataka kutengeneza attention isiyo na ulazima.Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na awamu ya tano na kukamilika na awamu ya sita chini ya ungozi wa Mama Samia Suluhu Hassan.
Kwani JK aliposema zilianza na awamu ya tano alimaanisha nn?