Kwa hiyo JK ni Nabii!![emoji848] Ilikuwaje aliamua kuwajaza wanasiasa kwenye lile Bunge la Katiba kiasi cha kusababisha mtafuruku kati Ukawa na Ccm? Maana ile Rasimu ilipendekeza kabisa upunguzwaji wa madaraka ya Rais, nk!
Na ilikuwaje Nabii JK kwa makusudi kabisa mwaka 2015, akaamua kwa makusudi kabisa kuuvuruga mchakato wa kumpata mgombea wa Urais kupitia Ccm? na mwisho wa siku kufanya ule uamuzi wa hovyo wa "Bora tukose wote" na hivyo kutuletea mtu ambaye kimsingi aliingia kwenye kile kinyang'anyiro kwa majaribio!
Mkuu naomba connection na Mimi Niwe napiga hii kazi yako, Eneo la kazi popote pale nip tayari Twitter, facebook, instagram Au popote paleBahati nzuri tuna Rais magufuli Mzalendo aneyewapenda Watanzania
Watanzania tupo vizuri
Wewe jamaa ni mtu hatari na mwenye mawazo ya hatari kuliko umasikini.Tatizo letu Tz tunachagua marais wetu kwa kuangalia makabila yaliyonyuma zaidi kimaendeleo haya....
Alisikiliza matakwa yenu si mlisema yeye ni legelege mnataka raisi asie cheka na mtu raisi mkali akawaletea Sasa mmemiss mapocho pocho ya ikulu [emoji23][emoji1787][emoji2960]Kwa hiyo JK ni Nabii!![emoji848] Ilikuwaje aliamua kuwajaza wanasiasa kwenye lile Bunge la Katiba kiasi cha kusababisha mtafuruku kati Ukawa na Ccm? Maana ile Rasimu ilipendekeza kabisa upunguzwaji wa madaraka ya Rais, nk!
Na ilikuwaje Nabii JK kwa makusudi kabisa mwaka 2015, akaamua kwa makusudi kabisa kuuvuruga mchakato wa kumpata mgombea wa Urais kupitia Ccm? na mwisho wa siku kufanya ule uamuzi wa hovyo wa "Bora tukose wote" na hivyo kutuletea mtu ambaye kimsingi aliingia kwenye kile kinyang'anyiro kwa majaribio!
Makabila tena Mkuu. Nakuomba uivue hiyo akili brother. Mambo ya Kabila achana nayo kabisa.Tatizo letu Tz tunachagua marais wetu kwa kuangalia makabila yaliyonyuma zaidi kimaendeleo haya....
Leadership skills siyo suala la ukabila, ni suala la uwezo binafsi na ustaarabu wa mtu husika.Tatizo letu Tz tunachagua marais wetu kwa kuangalia makabila yaliyonyuma zaidi kimaendeleo haya....
Mkuu naomba connection na Mimi Niwe napiga hii kazi yako, Eneo la kazi popote pale nip tayari Twitter, facebook, instagram Au popote pale
Ntakupoza ila tuu unahakikishie Buku 7 iliyo simama daily
Sent using Jamii Forums mobile app