Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Nabii aliyeona leo

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Nabii aliyeona leo

Leadership skills siyo suala la ukabila, ni suala la uwezo binafsi na ustaarabu wa mtu husika.
Viongozi huandaliwa, kuzaliwa familia flani, au koo flani au kabila flani hakuwezi kuwa sifa ya kuwa kiongozi bora.
Wala kipaji pekee kisicho boreshwa hakiwezi kutosha kumfanya mtu awe kiongozi bora.

Kila familia, koo, na kabila kuna watu wenye sifa za kiungozi bora na wanaokosa sifa za uongozi.
Hata ndani ya makundi hayo juu watu hutofautiana maendeleo.
Mtu ambae uwezo wake mdogo kumbanua na kuchanganua mambo ndiyo akili yake hufunikwa na giza la mawazo ya kikabila na ubinafsi.
Kweli mkuu; si kila mtu anaweza kuwa Mangi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kabisa. Mkapa alikuwa na chuki binafsi na Membe baada ya Membe kuustukia ufisadi wake yeye na Kitine na hivyo kutumia nguvu aliyokuwa nayo kwa Kikwete kuhakikisha Membe hapiti bali mtu wake waliyeshiriki naye katika wizi wa nyumba za Serikali.

Kikwete 2005 hakuwa chaguo la Mkapa bali Kigoda, baada ya kuona hana support kubwa akirukia kwenye kambi ya Kikwete na kumsaliti SAS. Hivyo Kikwete naye 2015 akalipa fadhila.

Paragraph ya chini Ulichokiandika sio kitu cha kua nach uhakika Sana
Wapo wanaosema Mwl wa chemistry hakua chaguo la JK bali Lilikua chaguo la Mtu Mfupi JK chaguo lake Lilikua ni BM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom