Hakuna ukweli wowote hapo Mkuu
mwalisi. Maana akishamaliza hapo ataanza kumchunguza mama yake kama si wa kabila hilo ataanz kumdharau.
Hiyo ndo shida ya ukabila, unaanza kuchunguza kwa jirani afu unarudi kuchunguza ndani. Hakuna kabila lililo duni kwa kuumbwa na hakuna kabila lililo bora kwa kuumbwa. Ndo maana kwenye kabila unaloona bora unaweza kuta Kuna watu wa kabila unalozadharau wako vizuri zaidi kiuchumi pengine kuliko wa kabila unalohamiania. Kaa uone Kama kabila litakuletea Maendeleo.
Kama kuna kabila tajiri kwa nini wote waliozaliwa katika kabila hilo, wasiwe matajiri, na kama kuna kabila maskini kwa nini kwenye kabila hilo hilo kuna matajiri wa kutupwa?
Shituka na acha kukumbatia Ukabila.
Sent using
Jamii Forums mobile app