Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Nabii aliyeona leo

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Nabii aliyeona leo

Mchakato wa katiba wakulaumiwa ni CCM, CCM hawakuitaka katiba mpya japo mwenyekiti JK aliitaka, JK aliwashiwa moto ndani ya CCM akawekwa kwenye wakati mgumu akabaki peke yake..

2010 JK alitaka kupotezwa na wanamtandao wenzake ndani ya CCM ili ahudumu kipindi kimoja, mkwere akapambana mwenyewe vita mbili, vita ya ndani ya chama vs kundi lenye fedha na nguvu lakina EL na RA na vita ya pili na CDM ya Dr Slaa ikipewa nguvu na EL na vijana wake kummaliza JK.. (Thanks Mbowe na ZZK kwa kazi nzuri).

2015 naomba niyaache...
 
Kabila la mtu lina mchango mkubwa kumshape mtu atakavyokuwa huko mbeleni.. mtu akitoka kwenye kabila lilio nyuma kimaendeleo bila shaka na yeye atakuwa nyuma vile vile.. makabila yaliyo nyuma hata jinsi yanavyoendesha maisha yao huwa hayaeleweki.. yaani roho mbaya, uchawi na kukomoana ndo mpango mzima. Binafsi sioni kwa nini raisi awe muha au mpangwa au mgogo, au mzinza.. haya na makabila mengine mengi ni duni kabisa hata watu wake hamna kitu..

Ningekuwa na uwezo makabila ya kutoka viongozi wa juu ni mawili tu.. wahaya na wachaga.. bhaasi..

Haya makabila mengine yana mambo ya kipuusi sana.. walitakiwa wawe wanakata mikonge huko Tanga
Wewe ni mwendawazimu wa kiwango cha SGR
 
kumbe kweli kila mtu anamawazo yake hapa dunian, nashangaa sana mtu kulalamika utawala huu, kuwa mbov bnafs sion ubov wake,na ninachomshukuru nabii ni kumpa magu uongoz hapo nampa sfa zote, magufuli he is good presdent, naamin kalib dunia nzima kwa viongoz wanaojielewa huyu rais yumo kabisa, ana focus mbele na uzalenda mkubwa, kwa anae mbeza huyo ni hatali sana kwa mstakabal wa nch yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kama umewahi iufanya kazi au kuwa na ukaribu na Wasukuma,Wahaya na Wachaga utaonaona hawa jamaa ni wajuaji mno
But by research by experience kabila Lina nafasi pia jiulize kwann huwa ni wao tu tafiti hata awamu zote wakipata nafasi yeyeto ni kujimwambafy,kupenda sifa sifa utadhani watoto wadogo.Jamii zingine mbona awapo hivo.Hata ukifanya study why mkoloni akutoa elimu kwenye baadhi ya Jamii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ukweli wowote hapo Mkuu mwalisi. Maana akishamaliza hapo ataanza kumchunguza mama yake kama si wa kabila hilo ataanz kumdharau.

Hiyo ndo shida ya ukabila, unaanza kuchunguza kwa jirani afu unarudi kuchunguza ndani. Hakuna kabila lililo duni kwa kuumbwa na hakuna kabila lililo bora kwa kuumbwa. Ndo maana kwenye kabila unaloona bora unaweza kuta Kuna watu wa kabila unalozadharau wako vizuri zaidi kiuchumi pengine kuliko wa kabila unalohamiania. Kaa uone Kama kabila litakuletea Maendeleo.

Kama kuna kabila tajiri kwa nini wote waliozaliwa katika kabila hilo, wasiwe matajiri, na kama kuna kabila maskini kwa nini kwenye kabila hilo hilo kuna matajiri wa kutupwa?

Shituka na acha kukumbatia Ukabila.

Sent using Jamii Forums mobile app
vijana tuache kasumba yakupenda vyama kuliko taifa letu
 
Ni kweli Mh. JK alijaribu kufanya kitu chema kuhusu madaraka ya rais, lakini kinachoonekana alitaka kuyafanyia kazi mawazo ya Baba wa Taifa Mwl Nyerere. Huko nyuma alipata kueleza na kuonyesha hofu yake juu ya madaraka makubwa aliyorundikiwa rais wetu na katiba yetu na kubainisha kuwa akitokea rais akayatumia vibaya, katiba inamruhusu kufanya chochoted na kwa kadri anavyojiskia yeye, na mbaya zaidi inampa kinga ya kutoshitakiwa baada ya kuondoka madarakani! Hata hivyo Mh. JK alifanya kosa la kiufundi kwenye Bunge la katiba kwani ndio ilikuwa nafasi yake adhimu kutekeleza azma ile. Rais wetu alipaswa kuteuwa watalaam kutoka kila eneo/sekta, na kwa asilimia kubwa timu ingeundwa na majaji na wanasheria na kwa upande wa vyama vyama vingewakilishwa na mtu mmoja mmoja tu ili kuthibiti UCCM au UCHADEMA! Sasa kule kujaza wanasiasa tena wafia chama, matokeo yake hata rasimu ile nzuri iliyokuwa maoni ya wananchi ikachakachuliwa na kufumuliwa, na kuhaririwa upya baadala ya kujadiliwa kama ilivyowasilishwa! Kilichofuata ni mtafaruku kati ya watetezi wa maoni ya wananchi na wanasiasa wafia chama, mwishowe tukashindwa kupata katiba mpya huku mabilioni ya pesa za walipa kodi zikiwa zimeshaangamia! Namuomba Mwenyezi Mungu atusaidie tuweze kupata mchakato muhimu kama ule na tuvuke kwa amani!
 
Northern corridor [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20200514_085340.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama alikuwa Nabii kwanini mlimwita dhaifu?
Swali la msingi sana. Hizi katumia ni akili za kike.....

Mwanamke akiwa na mumewe atamdharau na kumuona wa thamani ndogo, na atatamani wa mwenzake na kumuona wa thamani zaidi.....

Akipewa wa mwenzake na mwanamke mwenzake akichukua wake ataanza tena kudharau aliepewa na kutaka arejee alipokuwa kwakuwa sasa kaona tamaa kuona mwenzake anafaidi alichokuwa anakipata yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la msingi sana. Hizi katumia ni akili za kike.....

Mwanamke akiwa na mumewe atamdharau na kumuona wa thamani ndogo, na atatamani wa mwenzake na kumuona wa thamani zaidi.....

Akipewa wa mwenzake na mwanamke mwenzake akichukua wake ataanza tena kudharau aliepewa na kutaka arejee alipokuwa kwakuwa sasa kaona tamaa kuona mwenzake anafaidi alichokuwa anakipata yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app

👏👏👏
 
Hivi hii katiba tunayoisema haifai alituachia nani.
Kwenye macho ya watanzania, hilo zigo amelibeba yeye maana aliliasisi. Bora hata asingeligusa. Naam, sasa tuna Rais ambaye kama Mwalimu Nyerere alivyosema, inabidi kuhakikisha tunamsaidia amalize muda wake wa kikatiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii katiba tunayoisema haifai alituachia nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo toka enzi za awamu ya kwanza. Yeye aliingia rasmi kwenye mchakato wa kutengeneza kitu kingine. Hela zikatumika. Mpaka bunge likakaa. Sasa walikuwa hawamaanishi yale waliyoyafanya? Walifanya kwa maslahi ya nani?
 
Back
Top Bottom