Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Nabii aliyeona leo

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Nabii aliyeona leo

Baada utawala wa JPM kwisha nahisi sifa atakazokuja kupewa zaidi ya unabii ikuwa Jk kasifa hivyo yaani kwa magufuli we acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora Kikwete angetuletea Samia Suluhu Hassan kuliko huyu mpiga Mashangazi wa kusini
 
Kumbukeni maneno ya Mzee Kingunge RIP

Jr[emoji769]
 
Mkuu *Bia Yetu* niunganishie na Mimi basi, hii kazi naiweza sana ....kwenye kila buku saba yangu ntakupa buku mbili....Mi Niko fulu mitandaoni kote 24/7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kutabiri na kiukweli leo nina diriki kusema huyu alikuwa nabii.

Alipo fika pale ikulu aliona jambo moja la hatari sana ndani ya chama na ndani ya kiti cha Rais. Kwa Upendo mkubwa sana na busara zake aliwaita wataalamu wa sheria na wakachambuwa madaraka ya Rais. Kazi ngumu ilifanyika na mwisho waziri wa wakati ule Hawa Ghasia if not Sophia Simba akapewa muswaada kupeleka bungeni.

Kiukweli watu walipinga nakumuona Mh Kikwete hakuwa na nia njema kwa mamlaka ya Rais. Lakini akielezea dhima ya kupeleka ule mswaada bungeni haya ndio yalikuwa maneno yake, "Madara ya Rais nimakubwa mno kiasi naona kama atatokea kiongozi akayatumia vibaya itakuwa ni shida kubwa" at that time hatukumuelewa na wazo lake lilipigwa chini bungeni.

Miaka imepita sasa leo tunamkubuka huyu nabii ambaye sasa ni mstaafu.

Huyu Nabii aliposhindwa kwenye hili akahangaika kufanya reforming ndani ya chama nakushusha madaraka kwa wanachama alifanikiwa kwa kiasi kikubwa il alipofika kutenganisha kofia ya Mwenyekiti wa chama na Kofia ya Rais watu waliinuka nakumuona kama pia ana agenda binafsi leo watu wanaona wakati huwo Mzee yupo msoga anafuga Ng'ombe nakula miogo.

Kiufupi tumekwama na kwakuwa yeye anakula pensheni yake kama mshauri ktk chama. Basi watu wanaisoma Namba kama hivi nakumkumbuka.

Kumbe JK pamoja na mapungufu yake alikuwa Rais Nabii alie ona leo.
Jamaa alikuwa vizuri sn sema sisi ndiyo tulikuwa hatumwelewi maana uwezo wake ulikuwa mkubwa sn wakuongoza hata Marekani.
 
Hata wa Sasa nao tunawaonya Kama ambavo awakusikia waliopita,hii katiba mbeleni itakuja kuwatesa Kama wanavoitumia kuwatesea watu.Wakiwa kwenye mfumo huwa ni vipofu
 
Leadership skills siyo suala la ukabila, ni suala la uwezo binafsi na ustaarabu wa mtu husika.
Viongozi huandaliwa, kuzaliwa familia flani, au koo flani au kabila flani hakuwezi kuwa sifa ya kuwa kiongozi bora.
Wala kipaji pekee kisicho boreshwa hakiwezi kutosha kumfanya mtu awe kiongozi bora.

Kila familia, koo, na kabila kuna watu wenye sifa za kiungozi bora na wanaokosa sifa za uongozi.
Hata ndani ya makundi hayo juu watu hutofautiana maendeleo.
Mtu ambae uwezo wawe mdogo kumbanua na kuchanganua mambo ndiyo akili yake hufunikwa na giza la mawazo ya kikabila na ubinafsi.
But by research by experience kabila Lina nafasi pia jiulize kwann huwa ni wao tu tafiti hata awamu zote wakipata nafasi yeyeto ni kujimwambafy,kupenda sifa sifa utadhani watoto wadogo.Jamii zingine mbona awapo hivo.Hata ukifanya study why mkoloni akutoa elimu kwenye baadhi ya Jamii?
 
Unazungumzia kabila gani mkuu? Ni lile la washamba nambari wani ama? Kama ni hao kumbuka tu kuwa wako zaidi ya milioni 10 na huwezi kuwahukumu wote kwa matendo ya mtu mmoja au wawili. Naamini pengine unatania !!!
 
In
Afrika itabaki hivi hivi mpaka kiama. Watu wanajijenga wao badala ya kujenga taasisi
Inaitwa ubinafsi wa mwafrika Mimi kwanza.Mugabe, mobutu, bokasa,Abacha,moi, wameacha Mali,mashamba, mahekalu ya wizi ambayo si tija kwa mlipa kodi
 
Unazungumzia kabila gani mkuu? Ni lile la washamba nambari wani ama? Kama ni hao kumbuka tu kuwa wako zaidi ya milioni 10 na huwezi kuwahukumu wote kwa matendo ya mtu mmoja au wawili. Naamini pengine unatania !!!
Kuna general tabia ya kila kabila inaitwa asili aipotei hata uwe na PhD plus plus.Thus inatadharishwa leseni ya udereva sio kila mtu wengine wabakie kwenye utingo.by research by experience Case study
 
Kikwete alituachia urithi mbovu zaidi katika taifa letu kuliko rais mwingine yoyote aliyewahi kutokea hapa Tanzania. Yanayoendelea leo ni matunda ya mbegu mbovu iliyopandwa na Kikwete kimakusudi.

Makosa makuu matatu aliyofanya Kikwete, na tutayakumbuka milele.

1. Kuuvuruga mchakato wa katiba mpya.
2. Kuuvuruga mchakato wa mgombea urais ndani ya CCM 2015
3. Kuuvuruga uchaguzi mkuu wa 2015 Tanzania na Zanzibar.

Nina uhakika kwa 100% kama Kikwete asingevuruga kimakusudi hata kitu kimojawapo tu katika hayo juu hapo, huenda leo hii Tanzania ingekuwa ni mojawapo ya nchi zenye Amani, Furaha na Maendeleo makubwa zaidi katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati.

JK aliamua kutuzika wakati tukiwa bado tuko hai.
 
References za nani awe Raisi nani asiwe Raisi inaanzia mbali sio kwa Kikwete.
Nakumbuka Mwl.Nyerere alivyompigia chapuo Salim,bado akapoteza kwa sababu ya rangi yake.
Kwa swala la Bw.Salim,Nyerere angekuwa amejifunza somo la good politics agetumia ushawishi wake kubadirisha katiba akaishia kupiga soga tu.
JK angekuwa ana mapenzi mema kwa Taifa letu angetimiza kazi ya katiba mpya badala ya kuja na majina matano ya uraisi.
Sioni JPM kama ana appetite ya katiba mpya,labda Raisi Magufuli akitupenda sana anaweza kuanzisha mchakato wa katiba mpya kipindi chake cha pili kuelekea uchaguzi 2025.
 
Back
Top Bottom