Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Nabii aliyeona leo

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Nabii aliyeona leo

Kwa hiyo JK ni Nabii!!🤔 Ilikuwaje aliamua kuwajaza wanasiasa kwenye lile Bunge la Katiba kiasi cha kusababisha mtafuruku kati Ukawa na Ccm? Maana ile Rasimu ilipendekeza kabisa upunguzwaji wa madaraka ya Rais, nk!

Na ilikuwaje Nabii JK kwa makusudi kabisa mwaka 2015, akaamua kwa makusudi kabisa kuuvuruga mchakato wa kumpata mgombea wa Urais kupitia Ccm? na mwisho wa siku kufanya ule uamuzi wa hovyo wa "Bora tukose wote" na hivyo kutuletea mtu ambaye kimsingi aliingia kwenye kile kinyang'anyiro kwa majaribio!
Bora angempa yule mama mzanzibari, nauwakika leo tusingekuwa hapa.
 
Kuna general tabia ya kila kabila inaitwa asili aipotei hata uwe na PhD plus plus.Thus inatadharishwa leseni ya udereva sio kila mtu wengine wabakie kwenye utingo.by research by experience Case study
Research & Case studies kuhusu tribal biases and general perceptions? Published? In reputable peer reviewed journals?

Mi najua ni utani tu tunataniana basi. Wasukuma hivi. Wachaga vile. Wahaya hivyo n.k. na yanaishia hapo. Huwa simhukumu mtu eti kwa sababu kabila fulani .....
 
9

90% work but chance ya kurithi kupitia genetic, environment,nk.
 
9

90% work but chance ya kurithi kupitia genetic, environment,nk.
Sawa [emoji16][emoji16][emoji16]
nipher_yazzie_20200512_193136_0.jpg
 
Leadership skills siyo suala la ukabila, ni suala la uwezo binafsi na ustaarabu wa mtu husika.
Viongozi huandaliwa, kuzaliwa familia flani, au koo flani au kabila flani hakuwezi kuwa sifa ya kuwa kiongozi bora.
Wala kipaji pekee kisicho boreshwa hakiwezi kutosha kumfanya mtu awe kiongozi bora.

Kila familia, koo, na kabila kuna watu wenye sifa za kiungozi bora na wanaokosa sifa za uongozi.
Hata ndani ya makundi hayo juu watu hutofautiana maendeleo.
Mtu ambae uwezo wawe mdogo kumbanua na kuchanganua mambo ndiyo akili yake hufunikwa na giza la mawazo ya kikabila na ubinafsi.

Kabila la mtu lina mchango mkubwa kumshape mtu atakavyokuwa huko mbeleni.. mtu akitoka kwenye kabila lilio nyuma kimaendeleo bila shaka na yeye atakuwa nyuma vile vile.. makabila yaliyo nyuma hata jinsi yanavyoendesha maisha yao huwa hayaeleweki.. yaani roho mbaya, uchawi na kukomoana ndo mpango mzima. Binafsi sioni kwa nini raisi awe muha au mpangwa au mgogo, au mzinza.. haya na makabila mengine mengi ni duni kabisa hata watu wake hamna kitu..

Ningekuwa na uwezo makabila ya kutoka viongozi wa juu ni mawili tu.. wahaya na wachaga.. bhaasi..

Haya makabila mengine yana mambo ya kipuusi sana.. walitakiwa wawe wanakata mikonge huko Tanga
 
Kazi ya uongozi inahitaji reasoning na sio manual matumizi ya nguvu.Ukivichanganya hivi wa nguvu ukampa kazi ya reasoning ni lzm mkorogano utokee.Kuna Jamii ni wazuri keey manual kuliko reasoning
 
Kabila la mtu lina mchango mkubwa kumshape mtu atakavyokuwa huko mbeleni.. mtu akitoka kwenye kabila lilio nyuma kimaendeleo bila shaka na yeye atakuwa nyuma vile vile.. makabila yaliyo nyuma hata jinsi yanavyoendesha maisha yao huwa hayaeleweki.. yaani roho mbaya, uchawi na kukomoana ndo mpango mzima. Binafsi sioni kwa nini raisi awe muha au mpangwa au mgogo, au mzinza.. haya na makabila mengine mengi ni duni kabisa hata watu wake hamna kitu..

Ningekuwa na uwezo makabila ya kutoka viongozi wa juu ni mawili tu.. wahaya na wachaga.. bhaasi..

Haya makabila mengine yana mambo ya kipuusi sana.. walitakiwa wawe wanakata mikonge huko Tanga
Ila kweli. Nchi hii apewe Kiduku Lilo. Miaka miwili tu kila Mbongo atakuwa na Jeep au Range kabisa. Mwaka huu Wachaga na Wahaya jitokezeni kwa wingi kugombea....
 
Paragraph ya chini Ulichokiandika sio kitu cha kua nach uhakika Sana
Wapo wanaosema Mwl wa chemistry hakua chaguo la JK bali Lilikua chaguo la Mtu Mfupi JK chaguo lake Lilikua ni BM

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize huyo BWM anapata wapi nguvu nyingi kuliko JK ambaye ni mwenyekiti wa CC, NEC na CCM yenyewe? Msimvishe lawama bure BWM hilo alilikoroga JK mwache alinywe mwenyewe.

Kwanza JK ndiye muasisi wa siasa za mtandao. Kumbuka walivyofanya umafia mwaka 2005 na kuishinda kambi ya akina Salim Ahmed Salim. Halafu mwaka 2012-15 anajenga uhasama na mshirika wake wa zamani aliyem support financially ki-siasa kuanzia 1995 Edward Lowasa, usaliti haulipi lazima upotee.

Then anakuja kutuletea majina ya akina Januari Makamba, Amina Salum Ally na Asharose Migiro ili tu Bernard Membe awashinde kwa wepesi. Kweli Majina ya akina Mizengo Pinda, Gharib Bilali, Jaji Agustino Ramadhani (RIP), Agustino Mahiga(RIP) na kadhalika yalikuwa ni dhaifu kuliko Januari Makamba mpaka yasiingie kwenye 5 bora ya mwisho . Kweli Naibu Waziri wa Mawasiliano na Muandika hotuba ni bora kuliko Waziri Mkuu wako uliyefanya naye kazi miaka 8 au Makamu wa Rais uliofanya nao miaka 10 solid.

Tuwe serious Watanzania tumefikishwa hapa sababu ya UDHAIFU wa Jakaya Kikwete.
 
Hivi kuna nchi ngapi, I mean others apart from tz kipindi hiki cha koona zinaongozwa kwa remote?
 
"Madara ya Rais nimakubwa mno kiasi naona kama atatokea kiongozi akayatumia vibaya itakuwa ni shida kubwa" at that time hatukumuelewa na wazo lake lilipigwa chini bungeni.
Haya maneno hata Baba wa taifa aliyasema baada ya kustaafu,na mh.Kikwete aliyasema
katika utawala wake awamu ya pili mwishoni.
Swali langu,ni kwanini watawala hawa hawakuyasema maneno haya mwanzoni mwa utawala wao
wanayasema mwishoni wanapokaribia kukabidhi nchi kwa mwingine?
Huwa wanaogopa nini? kumkabidhi ajaye madaraka makubwa,ilihali wao wamekaa nayo na hawakuyatumia vibaya?
Binafsi naona ndani ya hizo sentensi zao huwa kuna ubinafsi na ndo maana hawakuwahi kufanikiwa.
 
Chadema si mlisema kikwete kazi yake kucheka cheka ohh Raisi anatakiwa kuwa mkali mumenyooka Hadi mnamwiita Kikwete nabii!!! Na Bado mtamwita Hadi Mungu.

Kikwete aliwadekeza mkashindwa kudekezeka CCM ikawaandalia Moto
Nawauliza chadema vipi mnataka Raisi anayecheka cheka au mkali nipeni jibu!!

Maana Sasa mnamjua raisi.mkali na anayecheka cheka yupi mnayemtaka kwa sasa baada ya kukiona Cha mtema kuni?
 
Ila kweli. Nchi hii apewe Kiduku Lilo. Miaka miwili tu kila Mbongo atakuwa na Jeep au Range kabisa. Mwaka huu Wachaga na Wahaya jitokezeni kwa wingi kugombea....
Ukombozi halisi wa nchi hii utatokana na makabila haya mawili maana ndo pekee wanaojielewa.. wengine dah.. tuwasamehe
 
Wkt wote ccm wanafikria vyeo vyao hawako kuachia madaraka kwa wengine.....Hata hoja binafsi ambayo Mlinga amekusudia kuileta bungeni kuhusu umri wa kustaafu kwa lazima uwe miaka 50 ccm watapinga maana hawataki kuachia nafasi......

Mchawi wa nchi hii hawajawahi kuwa mabebneru maana mabeberu wanazawadiwa mikataba na ccm hata magufuli kawazawadia mikataba ya ndege kwa siri yaani ccm ni mrija wa kuikamua nchi....
NDIO MAANA HAWATAKI UCHAGUZI, HAWATAKI TUME HURU, HAWATAKI KATIBA YA WANANCHI
 
Bahati nzuri tuna Rais magufuli Mzalendo aneyewapenda Watanzania

Watanzania tupo vizuri
Wewe huna tofauti na tunapotolea mzigo tukivimbiwa. Mbona umejaa ujinga hivi?
Hata kama unalengo la kumtetea mtu wako tumia hoja ueleweke sio kusifia tuu kama vile umepokea mtalimbo kunako na unausifia bila kujua unasifia nini ukubwa,urefu, unene au nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati watu wakimtukana niliwahikusema kuwa;
"Huwezi kumjua mtu mbaya kabla mzuri hajatokea na huwezi kumjua mtu mzuri kabla a mbaya kutokea"

Sasa ndio wakati mwafaka...semeni wenyewe
Mh Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kutabiri na kiukweli leo nina diriki kusema huyu alikuwa nabii.

Alipo fika pale ikulu aliona jambo moja la hatari sana ndani ya chama na ndani ya kiti cha Rais. Kwa Upendo mkubwa sana na busara zake aliwaita wataalamu wa sheria na wakachambuwa madaraka ya Rais. Kazi ngumu ilifanyika na mwisho waziri wa wakati ule Hawa Ghasia if not Sophia Simba akapewa muswaada kupeleka bungeni.

Kiukweli watu walipinga nakumuona Mh Kikwete hakuwa na nia njema kwa mamlaka ya Rais. Lakini akielezea dhima ya kupeleka ule mswaada bungeni haya ndio yalikuwa maneno yake, "Madara ya Rais nimakubwa mno kiasi naona kama atatokea kiongozi akayatumia vibaya itakuwa ni shida kubwa" at that time hatukumuelewa na wazo lake lilipigwa chini bungeni.

Miaka imepita sasa leo tunamkubuka huyu nabii ambaye sasa ni mstaafu.

Huyu Nabii aliposhindwa kwenye hili akahangaika kufanya reforming ndani ya chama nakushusha madaraka kwa wanachama alifanikiwa kwa kiasi kikubwa il alipofika kutenganisha kofia ya Mwenyekiti wa chama na Kofia ya Rais watu waliinuka nakumuona kama pia ana agenda binafsi leo watu wanaona wakati huwo Mzee yupo msoga anafuga Ng'ombe nakula miogo.

Kiufupi tumekwama na kwakuwa yeye anakula pensheni yake kama mshauri ktk chama. Basi watu wanaisoma Namba kama hivi nakumkumbuka.

Kumbe JK pamoja na mapungufu yake alikuwa Rais Nabii aliyeona leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenda zoko uko, JK alikuwa mr. Dhaifu na hii itabaki hivyo hivyo
 
Ukabira na uongozi huwezi vitenganisha , mfano Kuna kabira la watutsi , kwa afrika nadhn wao wamebarikiwa sana kwa swala la uongozi na wamezaliwa kuwa viongozi
Leadership skills siyo suala la ukabila, ni suala la uwezo binafsi na ustaarabu wa mtu husika.
Viongozi huandaliwa, kuzaliwa familia flani, au koo flani au kabila flani hakuwezi kuwa sifa ya kuwa kiongozi bora.
Wala kipaji pekee kisicho boreshwa hakiwezi kutosha kumfanya mtu awe kiongozi bora.

Kila familia, koo, na kabila kuna watu wenye sifa za kiungozi bora na wanaokosa sifa za uongozi.
Hata ndani ya makundi hayo juu watu hutofautiana maendeleo.
Mtu ambae uwezo wawe mdogo kumbanua na kuchanganua mambo ndiyo akili yake hufunikwa na giza la mawazo ya kikabila na ubinafsi.
Ukabira na uongozi huwezi tenganisha coz Kuna makabira yameumbwa kwa ajili ya kuwa viongozi ,

Kwamfano, watutsi
 
Back
Top Bottom