Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alikuwa Nabii aliyeona leo

Kweli mkuu; si kila mtu anaweza kuwa Mangi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi kabisa. Mkapa alikuwa na chuki binafsi na Membe baada ya Membe kuustukia ufisadi wake yeye na Kitine na hivyo kutumia nguvu aliyokuwa nayo kwa Kikwete kuhakikisha Membe hapiti bali mtu wake waliyeshiriki naye katika wizi wa nyumba za Serikali.

Kikwete 2005 hakuwa chaguo la Mkapa bali Kigoda, baada ya kuona hana support kubwa akirukia kwenye kambi ya Kikwete na kumsaliti SAS. Hivyo Kikwete naye 2015 akalipa fadhila.

Paragraph ya chini Ulichokiandika sio kitu cha kua nach uhakika Sana
Wapo wanaosema Mwl wa chemistry hakua chaguo la JK bali Lilikua chaguo la Mtu Mfupi JK chaguo lake Lilikua ni BM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…