Raisi Mstaafu Kikwete kapoteza sana umashuhuri sababu ya ubinafsi. Yeye ndiyo angetakiwa kuwa wa kwanza kukemea chaguzi mbovu badala yake yeye anajali Ikulu aliyo jengewa, mke wake mbunge na mtoto. Yaani tumebaki na Warioba, Jenerali Ulimwengu na Mzee Butiku pekee.
Kikwete angesaidia sana hii nchi badala yake amesahaulika na haja tumia kabisa nguvu yake zaidi ya kujibinafishisha. Utaendaje kwa mambo ya kimataifa wakati una nchi hata serikali za mitaa wagombea na utaratibu ni fake!.
Swagga nyingi lakini mzee tutakusahau mapema sana. Yaani nchi mpaka sasa imebaki kutegemea wakina Lissu na Mbowe wewe Mzee Kikwete unafanya nini