Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Huelewi, kwaheli ya kuonana!Kumbe umepewa jukumu la kusimamia na kuhakikisha watu wanamsema vizuri mtu wako? Wasiofuata huo utaratibu wewe una mamlaka ya kuwaita majina ya wanyama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huelewi, kwaheli ya kuonana!Kumbe umepewa jukumu la kusimamia na kuhakikisha watu wanamsema vizuri mtu wako? Wasiofuata huo utaratibu wewe una mamlaka ya kuwaita majina ya wanyama?
Nimeelewa kidogo sana. Hata hivyo kila la kheri!Huelewi, kwaheli ya kuonana!
a kwangu pia mzee usinisahauBado kwangu mm na familia yangu pamoja na ukoo wetu YY ndio MTU mwenye ushawishi mkubwa MNO!!
All the best
Sio CCM tu ni Wanasiasa wote.Wana CCM wakifika kwenye masuala ya uchaguzi busara huwa zinakwisha kabisa!