Rais Mstaafu Kikwete kapoteza sana umashuhuri sababu ya kuofanya haya

Kula Bata 😳
Mtu hujikuna mahali anapopafikia !
 
Mbona babako ni mstaafu ila hasemi kitu? Acheni mzee wa watu aishi maisha yake. Huo upumbavu fanyeni nyie na kina Lissu.
 
Unategemea nini kwa muhuni aliyezeeka?
 
Alikuwa wa kwanza kusema hivyo?!! JK hamumuwezi, tulieni tu nyie kima!
Yaani unafikia hatua ya kuita wengine majina ya wanyama kweli? Kisa mtu kutoa maoni yake? 😳😟
 
HuyΓ³ anapaswa awe jela mda huu . Sema ni TZ tu
 
Mnazidi bwana, mkimchukia mtu basi hamumpumzishi, muda wote kelele tu.
Basi iwe ndio sababu ya kumyanyapaa asiye afikiana nawe?

Vipi ingekuwa kwenye mdahalo wa wazi ungerusha mitusi tu kuonyesha hisia zako? πŸ€”
 
Huyu alipaswa awe gerezani kwa uhujumu uchumi sema nchi yetu ina mahakama za kipuuzi sn
 
Basi iwe ndio sababu ya kumyanyapaa asiye afikiana nawe?

Vipi ingekuwa kwenye mdahalo wa wazi ungerusha mitusi tu kuonyesha hisia zako? πŸ€”
Wasemeni watu kwa usawa na haki, si kwa sababu kwa vile hamuwapendi.
 
 
Wasemeni watu kwa usawa na haki, si kwa sababu kwa vile hamuwapendi.
Kumbe umepewa jukumu la kusimamia na kuhakikisha watu wanamsema vizuri mtu wako? Wasiofuata huo utaratibu wewe una mamlaka ya kuwaita majina ya wanyama?
 
Huyo ni kielelezo cha WAPUMBAVU
 
Ukiongeza na mama Tibaijuka hawa ndio wazee waliobakia Tanzania na ambao Taifa linajivunia.
Long life wazee wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…