D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 997 Reaction score 1,220 Dec 19, 2024 #41 GwaB said: Kumbe umepewa jukumu la kusimamia na kuhakikisha watu wanamsema vizuri mtu wako? Wasiofuata huo utaratibu wewe una mamlaka ya kuwaita majina ya wanyama? Click to expand... Huelewi, kwaheli ya kuonana!
GwaB said: Kumbe umepewa jukumu la kusimamia na kuhakikisha watu wanamsema vizuri mtu wako? Wasiofuata huo utaratibu wewe una mamlaka ya kuwaita majina ya wanyama? Click to expand... Huelewi, kwaheli ya kuonana!
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 4,291 Reaction score 5,786 Dec 19, 2024 #42 Dr wa Manesi said: Huelewi, kwaheli ya kuonana! Click to expand... Nimeelewa kidogo sana. Hata hivyo kila la kheri!
Dr wa Manesi said: Huelewi, kwaheli ya kuonana! Click to expand... Nimeelewa kidogo sana. Hata hivyo kila la kheri!
GwaB JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 4,291 Reaction score 5,786 Dec 19, 2024 #43 View: https://youtube.com/shorts/7OQphsPJy-4?si=T10fhGSRDz263O_V
m2mixh JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 614 Reaction score 391 Dec 19, 2024 #44 N Waka Waka said: Bado kwangu mm na familia yangu pamoja na ukoo wetu YY ndio MTU mwenye ushawishi mkubwa MNO!! All the best Click to expand... a kwangu pia mzee usinisahau
N Waka Waka said: Bado kwangu mm na familia yangu pamoja na ukoo wetu YY ndio MTU mwenye ushawishi mkubwa MNO!! All the best Click to expand... a kwangu pia mzee usinisahau
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,454 Reaction score 11,029 Dec 19, 2024 #45 fazili said: Wana CCM wakifika kwenye masuala ya uchaguzi busara huwa zinakwisha kabisa! Click to expand... Sio CCM tu ni Wanasiasa wote.
fazili said: Wana CCM wakifika kwenye masuala ya uchaguzi busara huwa zinakwisha kabisa! Click to expand... Sio CCM tu ni Wanasiasa wote.