Rais Mstaafu Kikwete unapata Faida gani Kujionyesha Wewe ni mwana Yanga SC sana na kuwa na 'Kiherehere' Kuhudhuria Mikutano yao?

Miaka ile ilikuwa.
Juu Kikwete
Katikati Manji
Chini Malinzi.
Na hawakufika kokote Kimataifa.
Kila mechi lazima wapate Penati,
Kwao ilikuwa hakuna offside.
Walibebwa hawakubebeka.

Kikwete kwa hadhi yake hakutakiwa kujionesha ni Yanga lialia.
Sasa hivi mnauliza kwani Karia ndio anacheza?
 
[emoji3]
Thamani ya Gentamycine ni gunia moja la ufuta?.
 
Mkuu nimekuelewa lakini tunatakiwa kujua kuwa hisia za kimahaba kwa timu za michezo huwa hazizeeki! Tena mtu anapoachana na majukumu mengine ya kiutumishi ndipo huwa na nafasi zaidi ya kushiriki michezo! Anngefanya hivyo wakati yupo ikulu, hapo sawa tungemlaumu lakini kwasasa yeye ni raia kama raia wengine, ana haki ya kushiriki hiyo michezo kwa vile bado ana nguvu za kujumuika!
 
Mtoa mada naomba uelezee kidogo unachukuliaje suala la Mo Dewj kutoweka B.20 hadi Leo!?
 
Bwege sana jamaa ni takataka kabisa
 
We jamaa kuna wakati unaandika ' upupu'! Hivi jana nduo umetambua kuwa JK ni Yanga lia lia? Mmeshaanza kupaniki, na bado!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…