Rais Mstaafu Kikwete unapata Faida gani Kujionyesha Wewe ni mwana Yanga SC sana na kuwa na 'Kiherehere' Kuhudhuria Mikutano yao?

Rais Mstaafu Kikwete unapata Faida gani Kujionyesha Wewe ni mwana Yanga SC sana na kuwa na 'Kiherehere' Kuhudhuria Mikutano yao?

Miaka ile ilikuwa.
Juu Kikwete
Katikati Manji
Chini Malinzi.
Na hawakufika kokote Kimataifa.
Kila mechi lazima wapate Penati,
Kwao ilikuwa hakuna offside.
Walibebwa hawakubebeka.

Kikwete kwa hadhi yake hakutakiwa kujionesha ni Yanga lialia.
Sasa hivi mnauliza kwani Karia ndio anacheza?
 
[emoji3]
Thamani ya Gentamycine ni gunia moja la ufuta?.
Ila wewe jamaa nimekuona bonge la bwege aisee.Kwa harakaharaka nimeona kimsingi umekosa exposure,umesafiri saaaana umefika Simiyu,hapo ndo utapiga na selfie na kuzituma kwa wakwe zako kuwa umesafiri umbali mkubwa.Ungekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia moja la ufuta.Hopeless kabisa wewe ! "Very parochial minded" .Napoteza muda hapa kukujibu,itoshe kusema hujitambui and above all you know nothing where the world is heading to !
 
Mkuu nimekuelewa lakini tunatakiwa kujua kuwa hisia za kimahaba kwa timu za michezo huwa hazizeeki! Tena mtu anapoachana na majukumu mengine ya kiutumishi ndipo huwa na nafasi zaidi ya kushiriki michezo! Anngefanya hivyo wakati yupo ikulu, hapo sawa tungemlaumu lakini kwasasa yeye ni raia kama raia wengine, ana haki ya kushiriki hiyo michezo kwa vile bado ana nguvu za kujumuika!
 
Mtoa mada naomba uelezee kidogo unachukuliaje suala la Mo Dewj kutoweka B.20 hadi Leo!?
 
Ila wewe jamaa nimekuona bonge la bwege aisee.Kwa harakaharaka nimeona kimsingi umekosa exposure,umesafiri saaaana umefika Simiyu,hapo ndo utapiga na selfie na kuzituma kwa wakwe zako kuwa umesafiri umbali mkubwa.Ungekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia moja la ufuta.Hopeless kabisa wewe ! "Very parochial minded" .Napoteza muda hapa kukujibu,itoshe kusema hujitambui and above all you know nothing where the world is heading to !
Bwege sana jamaa ni takataka kabisa
 
Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa (RIP) alikuwa ni Simba SC "lia lia' ila hakuwa na 'Kiherehere' alichonacho Rais Mstaafu Kikwete kwa Yanga SC.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi ni Simba SC 'ndaki ndaki' ila hakuwa na 'Kiherehere' kwa Simba SC kama ulivyo Rais Mstaafu Kikwete.

Mheshimiwa Rais Mama Samia ni Simba SC 'lia lia' kabisa ( japo Mumewe Hafidh Ameir ) ni Yanga SC hasa pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika Ndugai na Naibu wake Tulia nao ni Simba SC wa uhakika, ila huwezi kuwakuta wanakuwa na 'Viherehere' vya Kuhudhuria mara kwa mara Vikao au Mikutano ya Simba SC kama afanyavyo Raia Kikwete.

Hatimaye sasa kutokana na 'Kiherehere' chako cha Kujifanya unaipenda mno Yanga SC na Uongozi wa Yanga SC nao Kukutumia Wewe kama 'turufu' yao ya Kuvutia Wanachama wengi walioichoka Yanga SC Mikutanoni SIRI imefichuka kuwa kumbe Wewe ndiyo Mmiliki ( mwenye Kampuni ya GSM ) ila umeamua 'Kumpandikiza' Gharib na akina Injinia Hersi Said kama 'Kutuzuga' Watu ila Wazee wa Kufukunyua na Kudadisi mambo akina GENTAMYCINE tumezinyaka hizi kwa Watu wa karibu na Uongozi nchini.

Halafu Rais Mstaafu Kikwete sikuona sababu yoyote ile ya Wewe Kumjibu 'Kidharau' na kwa 'Chuki' vile Mtangazaji Ahmed Ally wa Azam TV alipokuwa anakuuliza Maswali ukiwa unaingia Ukumbini kama sehemu yake ya Kutekeleza Wajibu wake kama Mwandishi wa Habari. Ulichofanya Rais Mstaafu Kikwete ni Ushamba anbao Mtu kama Wewe hukupaswa Kuufanya.

Umeshastaafu Urais wa Tanzania sasa sijui ni Kitu Kingine ambacho Kikwete unakitaka na bado tu hujaacha ile tabia yako ya Kulazimisha Kupendwa, Kuabudiwa, Umaarufu na Kuzungumzia ukijidanganya kuwa bado unakubalika na Watanzania wakati Ukweli ni kwamba kwa 'Intellectuals' wala hukubaiiki ila kwa wale 'Lumpen Proletariets' wengi wanaopatikana huko Yanga SC na Kwingineko nchini ndiyo Wanakukubali ( Wanakupenda )

Tafadhali Rais Mstaafu Kikwete hebu pumzika kama walivyopumzika Waandamizi Wenzako wengi ( ambao ni wana Simba SC hasa tu ) na hiki 'Kiherehere' chako cha Kujifanya unaipenda mno Yanga SC 'mrithishe' Mwanao Kipenzi Ridhiwani kwani hata kwa Umri wake inapendeza ila siyo Wewe Mkongwe ( Mzee ) sasa.

Tarehe 3 na 25 July, 2021 mtatafutana!!
We jamaa kuna wakati unaandika ' upupu'! Hivi jana nduo umetambua kuwa JK ni Yanga lia lia? Mmeshaanza kupaniki, na bado!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom