Rais Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki.

Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane.

Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
 
Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki. Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane. Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
Mstaafu anajua UADHIMU WA DOLA....
 
Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki.
Huo ukimya maana yake anaunga mkono yanayoendelea
 
Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki. Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane. Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
Kikwete anamhujumu mwenzake
 
Bora aongee mbowe kuliko kiikwete. Unajua kikwete ndiyo mwasisi wa kuteka, Kutesa na kuua? Alianzia kwa Dr ulimboka.

Kikwete haheshimiki hata kidogo
 
Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki. Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane. Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
Akiotoa maoni mtapiga kelele mpaka basi. Bora ajinyamzie tu
 
Huo uhuru unaotaka kumpa kikwete wa kuongea mbona mmemnyima Mrema mmemfukuza uanachama?
Suala la Mrema ni lake na chama chake. La Kikwete kizungumza ni la Kitaifa kwani aliwahi kuwa Amiri Jeshi Mkuu. Tumia akili kufikiri angalau kidogo.
 
Back
Top Bottom