Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
Worse than uselessHe’s a useless piece of sh*t!
Worse than uselessHe’s a useless piece of sh*t!
Naye yumoHuo ukimya maana yake anaunga mkono yanayoendelea
Mshawai kumuheshmu rais yupiBora aongee mbowe kuliko kiikwete. Unajua kikwete ndiyo mwasisi wa kuteka, Kutesa na kuua? Alianzia kwa Dr ulimboka.
Kikwete haheshimiki hata kidogo
Ni muhusika mkuu.Naye yumo
FYI sitting 109 Kms West of Dsm, he speaks louder than ears' capacity to hearRaisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki.
Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane.
Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
Rais mstaafu ana lipi la kumshauri aliyepo madarakani?. Mh. J.M.K angetuachia katiba MPYA kabla hajastaafu, Jina lake lingeandikwa katika vitabu vya nchi yetu Kwa kalamu ya dhahabu.Suala la Mrema ni lake na chama chake. La Kikwete kizungumza ni la Kitaifa kwani aliwahi kuwa Amiri Jeshi Mkuu. Tumia akili kufikiri angalau kidogo.
🤣 🤣 🤣Pole, kumbe hujui remoti iko Msoga?
Linalojamba ni tumbo, ile sauti unayoisikia ni spika tu.
Acha kumlaumu rais mstaafu, Kama unaweza hamasisha raia waweze kudai haki zao.Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki.
Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane.
Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
Yeye na mwendazake Lowassa waliutaka urais si kwa nanufaa ya nchi bali kujinufaisha wao na familia zaoRaisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki.
Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane.
Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
Kikwete hajakaa kimya, Kimwete kamsifia Samia hujamsikia?Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki.