MsuruhishiHalafu kwenye maswla ya majirani ndiye Kimbelembele kujifanya Msuruhishi. Wanajifanya hawajui hata huko wanakokwendaga kusuruhisha mambo yalianza kidogo kidogo kama hapa kwetu.
Kusuruhisha.
Ondoa hizo r r r
MsuruhishiHalafu kwenye maswla ya majirani ndiye Kimbelembele kujifanya Msuruhishi. Wanajifanya hawajui hata huko wanakokwendaga kusuruhisha mambo yalianza kidogo kidogo kama hapa kwetu.
Nchi kwanza...Dr.ulimboka alitekwa na kuteswa awamu ya nani?
Kwahiyo mwenye haki ya kuongea ni Amiri jeshi Mstaafu ila Mrema hana haki ya kuongea?Suala la Mrema ni lake na chama chake. La Kikwete kizungumza ni la Kitaifa kwani aliwahi kuwa Amiri Jeshi Mkuu. Tumia akili kufikiri angalau kidogo.
Nchi bila usalama wa wananchi? Omba yasikukute.Nchi kwanza...
Ulimboka zwazwa
What if.......?!Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki. Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane. Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
Ulimboka adui wa WAGONJWA...Nchi bila usalama wa wananchi? Omba yasikukute.
Yeye hawashiwashwi.Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki. Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane. Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
Ak0s0e nn ?Shida ya JK, yuko busy na biashara zake kuacha urithi wa vitukuu+ kusimika mfalme mpya siku za usoni kijana Riz1.
Kwasasa hicho sio kipaumbele chake, target number one ilikuwa kumuweka mtu ili anyooshe mambo yake + kuinstall the living system kwa manufaa inner circle hata yeye akifa.
Ukombozi katika nchi hii utaletwa na Watanzania wenyewe siku wakiamka usingizi na kugundua nchi imetekwa na inaendeshwa na invisibles behind the scene, hao invisibles ambao wanatengeneza utajiri mkubwa wengi wao ni waarabu na wahindi, hawa ndugu zetu wengine wanaotumika kama vitoroli wanaishia kupata hela ya kula tu na kusumbua watu mjini.
Ak0s0e nn ?!!Suala la Mrema ni lake na chama chake. La Kikwete kizungumza ni la Kitaifa kwani aliwahi kuwa Amiri Jeshi Mkuu. Tumia akili kufikiri angalau kidogo.
Ushauri at0e hadharani ?!!Mkuu unajua protocol lakini? Hali ingekuwa tofauti kama Samia na Kikwete wangekuwa vyama tofauti lakini kwa hili anaweza kueleza lakini ushauri kwa Rais ni njia ya kwanza nyingine ni ndani ya Chama.
Umejaa ujynger na ut0t0....Ile familia ina ubinafsi sana usitegemee lolote pale zaidi ya kuchuma zaidi na zaidi
Wa giningi amkosoe wa giningi heeeh.??Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki.
Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane.
Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
Hakuna atakaye ng'amua hili...Wenye critical thinking tu ndiyo Wanaweza elewa unachosema...But God will see through our President and our country!Kikwete anamhujumu mwenzake
Umri wangu ni kama babako ujue kijanaUmejaa ujynger na ut0t0....
Huyo ndo Rais mwenyewe sasa kama hujui aliyepo ni bosheni tuRaisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki.
Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane.
Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
Akikujibu nitag 🤣🤣🤣🤣Huo uhuru unaotaka kumpa kikwete wa kuongea mbona mmemnyima Mrema mmemfukuza uanachama?
Sawa baba mjinga....Umri wangu ni kama babako ujue kijana