Atakuwa anaogopa kutekwa Mzee watu?Pole, kumbe hujui remoti iko Msoga?
Linalojamba ni tumbo, ile sauti unayoisikia ni spika tu.
😂😂😂😂Pole, kumbe hujui remoti iko Msoga?
Linalojamba ni tumbo, ile sauti unayoisikia ni spika tu.
Pole, kumbe hujui remoti iko Msoga?
Linalojamba ni tumbo, ile sauti unayoisikia ni spika tu.
Mstaafu anajua UADHIMU WA DOLA....Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki. Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane. Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
Huo ukimya maana yake anaunga mkono yanayoendeleaRaisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki.
Kwani nchi emergent ?Halafu kwenye maswla ya majirani ndiye Kimbelembele kujifanya Msuruhishi. Wanajifanya hawajui hata huko wanakokwendaga kusuruhisha mambo yalianza kidogo kidogo kama hapa kwetu.
Nchi ni emergent ?Huo ukimya maana yake anaunga mkono yanayoendelea
Kikwete anamhujumu mwenzakeRaisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki. Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane. Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
Bora aongee mbowe kuliko kiikwete. Unajua kikwete ndiyo mwasisi wa kuteka, Kutesa na kuua? Alianzia kwa Dr ulimboka.Raisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki. Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane. Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
Mstaafu aseme nn kwa d0la tlv ?Tatizo anataka kua Muungwana sana, Mwishowe hata pa kusema No, anaona bora akae kimya ili aendelee kua Muungwana.
Hamkuona alivo kua na kigugumizi kule Dodoma?
Umejaa ujynger na ufhm mdg0...Bora aongee mbowe kuliko kiikwete. Unajua kikwete ndiyo mwasisi wa kuteka, Kutesa na kuua? Alianzia kwa Dr ulimboka.
Kikwete haheshimiki hata kidogo
Akiotoa maoni mtapiga kelele mpaka basi. Bora ajinyamzie tuRaisi Mstaafu pekee akiwa Bubu kama Kikwete kwenye hali hii ni hatari. Hizo fujo na ukosefu wa haki halafu tuna Raisi mmoja tu mstaafu wa Tanzania hasemi kitu! Watu wengi wana ona ni kama vile anaunga mkono mtekaji unao endelea, Polisi kutokufuata sheria, Mahakama kuwa dhaifu na haki. Kwenda kwenye misiba pekee haitoshi kwa mtu kama Kikwete inatakiwa msimamo wako ujulikane. Mwenzake Kenyetta tunaona anavyotoa ushauri lakini huyu Raisi wetu anazidiwa na wakina Warioba na Butiku!!. Kwasababu tu maslahi binafsi bila kujua hapa Duniani tunapita tu
Dr.ulimboka alitekwa na kuteswa awamu ya nani?Mstaafu anajua UADHIMU WA DOLA....
😂Pole, kumbe hujui remoti iko Msoga?
Linalojamba ni tumbo, ile sauti unayoisikia ni spika tu.
Suala la Mrema ni lake na chama chake. La Kikwete kizungumza ni la Kitaifa kwani aliwahi kuwa Amiri Jeshi Mkuu. Tumia akili kufikiri angalau kidogo.Huo uhuru unaotaka kumpa kikwete wa kuongea mbona mmemnyima Mrema mmemfukuza uanachama?